Keir Starmer kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza huku Rishi Sunak akikubali kushindwa

Haya Mabadiliko yataendelea Ufaransa na Marekani
 
Yaani wenzetu wanaweka maslahi ya nchi mbele kuliko kitu chochote!jamaa kakubali kushindwa kwa uungwana kabisaa!ila huku Africa sasa!tafrani tupu!sijui nani alituloga walah
 
Wazungu wanajali sn maslahi ya nchi yao
 
Yaani wenzetu wanaweka maslahi ya nchi mbele kuliko kitu chochote!jamaa kakubali kushindwa kwa uungwana kabisaa!ila huku Africa sasa!tafrani tupu!sijui nani alituloga walah
Chukulia mfano wewe ndio mgombea na ukamuona kabisa mgombea mwenzako anakimbia na box la kura. Je, utakubali kushindwa kihalali?
 
Hasa kipindi cha jpm. Mpka watu wakawa wanasema eti hata marekani na uingereza hakuna demokrasy ili tu kujustify jpm aendelee kutukandamiza
Tulijua tu Shehe Ubwabwa ni lazima umponde Magufuli!!

Uchaguzi wa 2025 mtalitaja tu jina la JPM Kwa wema Ili mshinde!! Tukaneni muone
 
Mara baada ya muda mdogo utasikia Sir Keir Starmer anatakiwa kujiuzulu kwa kushindwa kumudu uchumi
 
Chukulia mfano wewe ndio mgombea na ukamuona kabisa mgombea mwenzako anakimbia na box la kura. Je, utakubali kushindwa kihalali?
Unajuaje kabeba sanduku la kura yaweza kuwa kabeba lunch boxes anapelekea mawakala wake wakale
Masanduku ya kura yanafanana sana na masanduku ya kubebea lunch boxes za kubeba vyakula kusambaza mitaani

Si.kila king'aaacho.dhahabu wewe tuliza mpira
 
Unajuaje kabeba sandakan la kura yaweza kuwa kabeba lunch boxes anapelekea mawakala wake wakale
Masanduku ya kura yanafanana sana na masanduku ya kubebea lunch boxes za kubeba vyakula kusambaza mitaani

Si.kila kingaaacho.dhahabu wewe tuliza mpira
Kwa akili hizi ndio maana uongozi wanapewa waliotoka Upinzani nyie mnaishia kuzeekea hapo UVCCM.
 
Hizi sababu ni zako binafsi wala siyo ambazo zimefanya Tories washindwe uchaguzi. Waingereza wana shida zao kama kupanda kwa kugharama za makazi, huduma mbovu za afya (NHS) na masuala mazima ya uhamiaji ambao waingereza wengi wanaupinga kwa sababu ndo sehemu ya kuongezeka kwa gharama ya maisha na kuongeza pressure kwenye huduma za afya.
Suala la vita ya Urusi vs Ukraine wote sera yao ni moja ambayo ni kuisaidia Ukraine dhidi ya Urusi.
Kwa taarifa yako tu Tory imeanza kuchokwa tangu mwaka 2021 kipindi ambacho Waziri Mkuu alikuwa Boris Johnson, baadaye Ritz Truss Waziri Mkuu ambaye aliweka rekodi ya kukaa muda mfupi zaidi (Siku 44) ndo akaja Sunak. Conservative kushindwa uchaguzi ni kitu ambacho kilikuwa hakikwepeki japo hata hiyo Labour yenyewe Waingereza hawaimini ndo maana chama kama Reform UK ambacho kinapinga Uhamiaji kimepata kura nyingi japo hakijapata viti vingi vya bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…