Keir Starmer kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza huku Rishi Sunak akikubali kushindwa

Wamewawekea majasusi kutoka civil services kwenye uongozi wa labour ilikuwa lazima ishinde baada ya chaos ya miaka 6 kwenye uongozi wa juu ndani ya conservatives.

Key player hapo ni ‘Rachel Reeves’ shadow chancellor ‘the city’ (financial and equity markets) wana imani nae uchumi utabaki salama chini yake sio mtu atakepeleka policies hatari kwao. Ndio maana huu uchaguzi wamekaa kimya.

Keir Starmer ni career civil servant last alikuwa DPP

Rachel Reeves kafanya kazi bank kuu, katoka hapo kaenda foreign office, mshauri mkuu wa mambo ya sera za uchumi na dunia, baadae U.K. embassy in US kushauri uchumi. Kurudi U.K. private banking, kaacha kazi ya mshahara wa pound million kadhaa with bonus kwenda kwenye siasa; wakati head hunters wa mabank wanamgombania.

Wamejaza civil servants kadhaa huko juu ambao sio career politicians, kushindwa ilikuwa possibility ndogo sana.
Pamoja na ushindi mwingereza amepoteana sana; wamethibitisha kuwa si wale watu tulioamini 'wana akili'.
Labour wakiweza kukwepa mitego hatimaye kutoburuzwa na US nitahisi wameanza kujitambua.
 
Nishakuelewesha tayari nafikiri labda hujasoma reply zote. Jisaidie mwenyewe kwa kupunguzs mihemko na kutolea mtazamo wako kitu ambacho huna uelewa nacho bila kujiridhisha.
Hata kam ni jukwaa huru siyo sehemu ya kutoa habari na mitizamo ya upotoshaji kisa mihemko.
Asante
Unanipotezea tu muda wangu. Stupid 🚮
 
Wamewawekea majasusi kutoka civil services kwenye uongozi wa labour ilikuwa lazima ishinde baada ya chaos ya miaka 6 kwenye uongozi wa juu ndani ya conservatives.

Key player hapo ni ‘Rachel Reeves’ shadow chancellor ‘the city’ (financial and equity markets) wana imani nae uchumi utabaki salama chini yake sio mtu atakepeleka policies hatari kwao. Ndio maana huu uchaguzi wamekaa kimya.

Keir Starmer ni career civil servant last alikuwa DPP

Rachel Reeves kafanya kazi bank kuu, katoka hapo kaenda foreign office, mshauri mkuu wa mambo ya sera za uchumi na dunia, baadae U.K. embassy in US kushauri uchumi. Kurudi U.K. private banking, kaacha kazi ya mshahara wa pound million kadhaa with bonus kwenda kwenye siasa; wakati head hunters wa mabank wanamgombania.

Wamejaza civil servants kadhaa huko juu ambao sio career politicians, kushindwa ilikuwa possibility ndogo sana.
UONGO
 
Pamoja na ushindi mwingereza amepoteana sana; wamethibitisha kuwa si wale watu tulioamini 'wana akili'.
Labour wakiweza kukwepa mitego hatimaye kutoburuzwa na US nitahisi wameanza kujitambua.
Hilo aliwezekani wana uhusiano wenyewe ambao wanaita ‘special relationship’ ya nchi mbili.
 
Sir Keir Starmer atakuwa waziri mkuu ajaye wa Uingereza baada ya Rishi Sunak kukubali kushindwa katika kukabiliana na chama cha Labour.

Waziri Mkuu Sunak alisema wapiga kura wametoa "uamuzi wa kutisha" juu ya chama chake baada ya miaka 14 madarakani.

Kiongozi wa chama cha Labour Sir Keir Starmer alisema watu kote nchini Uingereza walikuwa wametangaza kuwa "tayari kwa mabadiliko".

Katika hotuba yake ya kukubali kushindwa baada ya kushikilia kiti chake cha Richmond na Northallerton, Bw Sunak alisema: "Chama cha Labour kimeshinda Uchaguzi huu Mkuu na nimempigia simu Sir Keir Starmer kumpongeza kwa ushindi wake."

Bw Sunak aliongeza: “Leo, tutabadilishana mamlaka kwa njia ya amani na yenye utaratibu na nia njema kwa pande zote. "Na ni jambo ambalo linapaswa kutupa imani sote katika utulivu na mustakabali wa nchi yetu."

"Watu wa Uingereza wametoa uamuzi mzito usiku wa leo, kuna mengi ya kujifunza ... na ninawajibika kwa hasara hiyo. Kwa watahiniwa wengi wazuri, wa Kihafidhina waliofanya kazi kwa bidii ambao wamepoteza usiku wa leo, licha ya juhudi zao zisizo na kuchoka, rekodi zao za mitaa na utoaji, na kujitolea kwao kwa jumuiya zao. Samahani."

=====

Pia soma: UK General Election: Waingereza leo kupiga kura kumchagua Waziri Mkuu na Wabunge

Kocha wa mpito Bw Sunak karudisha kijiti kwa wenyeji
 
Zanzibar huwa wanapiga kura zaidi ya tano kwa wakati mmoja. Uchaguzi mkuu UK wanapiga kura moja tu ya kumchagua mbunge. Chama ambacho kinapata wabunge wengi zaidi ya kuanzia 326 kati ya 650 ndo kinaunda Serikali na kiongozi mkuu wa hicho chama automatically anakuwa Waziri Mkuu.
Angalia swali halafu angalia jibu lako.
 
Chukulia mfano wewe ndio mgombea na ukamuona kabisa mgombea mwenzako anakimbia na box la kura. Je, utakubali kushindwa kihalali?
tafrani ninazoziongelea hapa, ni pale ambapo unakuta taratibu zote zimefanyika kihalali, kiongozi aliekuepo madarakani tena esp urais, kashindwa na hataki kutoka kwa amani analetaleta shida tu!AFRIKA kuna shida sana
 
Huko ni ulimwengu wa kwanza...civilized society....mambo hayo ni kawaida
 
Sir Keir Starmer atakuwa waziri mkuu ajaye wa Uingereza baada ya Rishi Sunak kukubali kushindwa katika kukabiliana na chama cha Labour.

Waziri Mkuu Sunak alisema wapiga kura wametoa "uamuzi wa kutisha" juu ya chama chake baada ya miaka 14 madarakani.

Kiongozi wa chama cha Labour Sir Keir Starmer alisema watu kote nchini Uingereza walikuwa wametangaza kuwa "tayari kwa mabadiliko".

Katika hotuba yake ya kukubali kushindwa baada ya kushikilia kiti chake cha Richmond na Northallerton, Bw Sunak alisema: "Chama cha Labour kimeshinda Uchaguzi huu Mkuu na nimempigia simu Sir Keir Starmer kumpongeza kwa ushindi wake."

Bw Sunak aliongeza: “Leo, tutabadilishana mamlaka kwa njia ya amani na yenye utaratibu na nia njema kwa pande zote. "Na ni jambo ambalo linapaswa kutupa imani sote katika utulivu na mustakabali wa nchi yetu."

"Watu wa Uingereza wametoa uamuzi mzito usiku wa leo, kuna mengi ya kujifunza ... na ninawajibika kwa hasara hiyo. Kwa watahiniwa wengi wazuri, wa Kihafidhina waliofanya kazi kwa bidii ambao wamepoteza usiku wa leo, licha ya juhudi zao zisizo na kuchoka, rekodi zao za mitaa na utoaji, na kujitolea kwao kwa jumuiya zao. Samahani."

=====

Pia soma: UK General Election: Waingereza leo kupiga kura kumchagua Waziri Mkuu na Wabunge
Matokeo ya utoto aliyokuwa akifanya,kituo kinachofuata Ufaransa na tunamalizia US.🤣
 
Back
Top Bottom