Hivi matokeo ya Uchaguzi Zanzibar huwa yanachukua muda gani?! 😳UK wana majimbo 650 na nchi yao ni ndogo ukilinganisha na Tanzania. Majimbo yao ni madogo kwa hiyo inakuwa rahisi kuhesabu kura na kutoa matokeo na ukizingatia pia ni nchi ambayo imeendelea na miundo mbinu
Pamoja na ushindi mwingereza amepoteana sana; wamethibitisha kuwa si wale watu tulioamini 'wana akili'.Wamewawekea majasusi kutoka civil services kwenye uongozi wa labour ilikuwa lazima ishinde baada ya chaos ya miaka 6 kwenye uongozi wa juu ndani ya conservatives.
Key player hapo ni ‘Rachel Reeves’ shadow chancellor ‘the city’ (financial and equity markets) wana imani nae uchumi utabaki salama chini yake sio mtu atakepeleka policies hatari kwao. Ndio maana huu uchaguzi wamekaa kimya.
Keir Starmer ni career civil servant last alikuwa DPP
Rachel Reeves kafanya kazi bank kuu, katoka hapo kaenda foreign office, mshauri mkuu wa mambo ya sera za uchumi na dunia, baadae U.K. embassy in US kushauri uchumi. Kurudi U.K. private banking, kaacha kazi ya mshahara wa pound million kadhaa with bonus kwenda kwenye siasa; wakati head hunters wa mabank wanamgombania.
Wamejaza civil servants kadhaa huko juu ambao sio career politicians, kushindwa ilikuwa possibility ndogo sana.
Unanipotezea tu muda wangu. Stupid 🚮Nishakuelewesha tayari nafikiri labda hujasoma reply zote. Jisaidie mwenyewe kwa kupunguzs mihemko na kutolea mtazamo wako kitu ambacho huna uelewa nacho bila kujiridhisha.
Hata kam ni jukwaa huru siyo sehemu ya kutoa habari na mitizamo ya upotoshaji kisa mihemko.
Asante
Hao ni binadamu wa kiwango cha juu sanaiyo ndio siasa safi akuna kuibiana kura.
UONGOWamewawekea majasusi kutoka civil services kwenye uongozi wa labour ilikuwa lazima ishinde baada ya chaos ya miaka 6 kwenye uongozi wa juu ndani ya conservatives.
Key player hapo ni ‘Rachel Reeves’ shadow chancellor ‘the city’ (financial and equity markets) wana imani nae uchumi utabaki salama chini yake sio mtu atakepeleka policies hatari kwao. Ndio maana huu uchaguzi wamekaa kimya.
Keir Starmer ni career civil servant last alikuwa DPP
Rachel Reeves kafanya kazi bank kuu, katoka hapo kaenda foreign office, mshauri mkuu wa mambo ya sera za uchumi na dunia, baadae U.K. embassy in US kushauri uchumi. Kurudi U.K. private banking, kaacha kazi ya mshahara wa pound million kadhaa with bonus kwenda kwenye siasa; wakati head hunters wa mabank wanamgombania.
Wamejaza civil servants kadhaa huko juu ambao sio career politicians, kushindwa ilikuwa possibility ndogo sana.
Hahahah yan hapo umempiga kwenye mshono sis Africa bado sanaHivi matokeo ya Uchaguzi Zanzibar huwa yanachukua muda gani?!
Hilo aliwezekani wana uhusiano wenyewe ambao wanaita ‘special relationship’ ya nchi mbili.Pamoja na ushindi mwingereza amepoteana sana; wamethibitisha kuwa si wale watu tulioamini 'wana akili'.
Labour wakiweza kukwepa mitego hatimaye kutoburuzwa na US nitahisi wameanza kujitambua.
Kivipi?UONGO
Harudi huyo😆Hahahah yan hapo umempiga kwenye mshono sis Africa bado sana
Sir Keir Starmer atakuwa waziri mkuu ajaye wa Uingereza baada ya Rishi Sunak kukubali kushindwa katika kukabiliana na chama cha Labour.
Waziri Mkuu Sunak alisema wapiga kura wametoa "uamuzi wa kutisha" juu ya chama chake baada ya miaka 14 madarakani.
Kiongozi wa chama cha Labour Sir Keir Starmer alisema watu kote nchini Uingereza walikuwa wametangaza kuwa "tayari kwa mabadiliko".
Katika hotuba yake ya kukubali kushindwa baada ya kushikilia kiti chake cha Richmond na Northallerton, Bw Sunak alisema: "Chama cha Labour kimeshinda Uchaguzi huu Mkuu na nimempigia simu Sir Keir Starmer kumpongeza kwa ushindi wake."
Bw Sunak aliongeza: “Leo, tutabadilishana mamlaka kwa njia ya amani na yenye utaratibu na nia njema kwa pande zote. "Na ni jambo ambalo linapaswa kutupa imani sote katika utulivu na mustakabali wa nchi yetu."
"Watu wa Uingereza wametoa uamuzi mzito usiku wa leo, kuna mengi ya kujifunza ... na ninawajibika kwa hasara hiyo. Kwa watahiniwa wengi wazuri, wa Kihafidhina waliofanya kazi kwa bidii ambao wamepoteza usiku wa leo, licha ya juhudi zao zisizo na kuchoka, rekodi zao za mitaa na utoaji, na kujitolea kwao kwa jumuiya zao. Samahani."
=====
Pia soma: UK General Election: Waingereza leo kupiga kura kumchagua Waziri Mkuu na Wabunge
😂😂😂Unanipotezea tu muda wangu. Stupid 🚮
Angalia swali halafu angalia jibu lako.Zanzibar huwa wanapiga kura zaidi ya tano kwa wakati mmoja. Uchaguzi mkuu UK wanapiga kura moja tu ya kumchagua mbunge. Chama ambacho kinapata wabunge wengi zaidi ya kuanzia 326 kati ya 650 ndo kinaunda Serikali na kiongozi mkuu wa hicho chama automatically anakuwa Waziri Mkuu.
Nimelielewa na nimekujibu kwa namna hiyo ili uelewe. Kama hujaelewa kwanini nimetoa hayo maelezo basi pole sina cha kukusaidia zaidi.Angalia swali halafu angalia jibu lako.
tafrani ninazoziongelea hapa, ni pale ambapo unakuta taratibu zote zimefanyika kihalali, kiongozi aliekuepo madarakani tena esp urais, kashindwa na hataki kutoka kwa amani analetaleta shida tu!AFRIKA kuna shida sanaChukulia mfano wewe ndio mgombea na ukamuona kabisa mgombea mwenzako anakimbia na box la kura. Je, utakubali kushindwa kihalali?
PoleHarudi huyo😆
Wewe utakuwa mdogo wake na Jecha.Nimelielewa na nimekujibu kwa namna hiyo ili uelewe. Kama hujaelewa kwanini nimetoa hayo maelezo basi pole sina cha kukusaidia zaidi.
Matokeo ya utoto aliyokuwa akifanya,kituo kinachofuata Ufaransa na tunamalizia US.🤣Sir Keir Starmer atakuwa waziri mkuu ajaye wa Uingereza baada ya Rishi Sunak kukubali kushindwa katika kukabiliana na chama cha Labour.
Waziri Mkuu Sunak alisema wapiga kura wametoa "uamuzi wa kutisha" juu ya chama chake baada ya miaka 14 madarakani.
Kiongozi wa chama cha Labour Sir Keir Starmer alisema watu kote nchini Uingereza walikuwa wametangaza kuwa "tayari kwa mabadiliko".
Katika hotuba yake ya kukubali kushindwa baada ya kushikilia kiti chake cha Richmond na Northallerton, Bw Sunak alisema: "Chama cha Labour kimeshinda Uchaguzi huu Mkuu na nimempigia simu Sir Keir Starmer kumpongeza kwa ushindi wake."
Bw Sunak aliongeza: “Leo, tutabadilishana mamlaka kwa njia ya amani na yenye utaratibu na nia njema kwa pande zote. "Na ni jambo ambalo linapaswa kutupa imani sote katika utulivu na mustakabali wa nchi yetu."
"Watu wa Uingereza wametoa uamuzi mzito usiku wa leo, kuna mengi ya kujifunza ... na ninawajibika kwa hasara hiyo. Kwa watahiniwa wengi wazuri, wa Kihafidhina waliofanya kazi kwa bidii ambao wamepoteza usiku wa leo, licha ya juhudi zao zisizo na kuchoka, rekodi zao za mitaa na utoaji, na kujitolea kwao kwa jumuiya zao. Samahani."
=====
Pia soma: UK General Election: Waingereza leo kupiga kura kumchagua Waziri Mkuu na Wabunge
Hahahah harud umemzid kwa hojaHarudi huyo😆
SawaWewe utakuwa mdogo wake na Jecha.