Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!