- Thread starter
- #21
Sio wachezaji 7 tu walikuwa 14 timu yao ya taifaSare huku wakiwa pungufu na bado wachezaji zaidi ya 7 hawakuwepo walikuwa kwenye timu zao za mataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wachezaji 7 tu walikuwa 14 timu yao ya taifaSare huku wakiwa pungufu na bado wachezaji zaidi ya 7 hawakuwepo walikuwa kwenye timu zao za mataifa
Sasa yanga hii ni ya kufungwa na mabingwa wa ligi iliyotuama!Ndiyo nakueleza sasa ujue, al hilal ndio bingwa wa ligi ya Sudan, sijawai kuona caf wanaingiza timu kwenye michuano yao kiholela bila kufata utaratibu!
Tunaweka risiti zenu sawa maana mnabwata sana kana kwamba michuano anayoshiriki yanga ni sawa na yenu,,na pia aina ya timu anazokutana nazo yanga mnataka kulinganisha na mnazokutana nazo nyie,,lazima tuwakumbushe msijisahau furaha ikawazidi mkaanza kutukosea adabu!Umeongea kabla hata hatujacheza
Na kabla hatujasema chochote ,Haya basi sema yote tukusikie
TUNAKUSIKILIZA SASA
Wewe ulishindwa nini kupata nafasi ya kucheza na hao mabingwa wa ligi iliyotuama ili uwafunge?Sasa yanga hii ni ya kufungwa na mabingwa wa ligi iliyotuama!
Uko sahihi lakin yanga haijajipanga vizuri haina wachezaji shindani nilimuona Prince Dube hamna kitu na akaendelea kucheza kisa dube day, wachezaji hawana nishati ya kutosha mabadiliko ya wachezaji hayakufanyika kwa muda muafaka, (substitution done not at desired time), kwakifupi yanga hamjajipanga munaokoteza wachezaji ambao mnadhani wataleta matokeo, munaongea sana kumbe timu yenu na uongozi ni dhaifuNaona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!
Msimu ulioisha Sudan kulikuwa na ligi?unaongea vitu usivyovijuaUsifanye Kila mtu ni mjinga, waliongoza ligi ya kwao na kutwaa ubingwa ndio kilichowapa tiketi ya kushiriki ligi ya mabingwa vinginevyo angechukuliwa ata al merekh akashiriki ligi ya mabingwa!
Kwani sasa hivi ni timu gani inaongoza ligi kuu Tanzania?Kabla ya ligi kusimama ni timu Gani ilikuwa inaongoza iyo ligi yao?
Teh teh tehNaona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!
Ebu tueleze uongozi ni dhaifu kwa hoja zipi? Tunahitaji utuorodheshee hoja zinazoonyesha udhaifu wa uongozi wa yanga alafu tutakujibu,,kueleza tu kiujumla kwamba uongozi wa yanga ni dhaifu utoeleweka,,Uko sahihi lakin yanga haijajipanga vizuri haina wachezaji shindani nilimuona Prince Dube hamna kitu na akaendelea kucheza kisa dube day, wachezaji hawana nishati ya kutosha mabadiliko ya wachezaji hayakufanyika kwa muda muafaka, (substitution done not at desired time), kwakifupi yanga hamjajipanga munaokoteza wachezaji ambao mnadhani wataleta matokeo, munaongea sana kumbe timu yenu na uongozi ni dhaifu
Similarly in business you have to sale what you customers are going to buy nit what you think there going to buy
Kwenye biashara inatakiwa uuze bidhaa ambayo unayojua wateja watanunua lakini siyo unayo dhani watainunu, mnaokoteza wachezaji ambao mnadgani wataleta matokeo
Vile vile akili zile zile ziluzoshindwa kuleta matokeo mnatumia akili zile zile ili zilete matoke chanya
Aaaah! Kumbe ndoivyo... Basi ndomanaAcha ujuaji yule aliyesawazisha goli la Simba alikuwa anaitwa serge pokou alisajiliwa kutoka asec mimosas ya Ivory coast!
Wakati mnasema Al Hilal watakula mkono, yaani goli tano, hamkujua kama wao ni mabingwa? Hamkujua kuwa hakuna mteremko? (ingawa umeandika 'akuna')... akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza
... Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,,
1. Wanaokoteza wachezajiEbu tueleze uongozi ni dhaifu kwa hoja zipi? Tunahitaji utuorodheshee hoja zinazoonyesha udhaifu wa uongozi wa yanga alafu tutakujibu,,kueleza tu kiujumla kwamba uongozi wa yanga ni dhaifu utoeleweka,,
Hoja ya kusema yanga Haina wachezaji Wenye ushindani na yenyewe sio hoja ya msingi,,Yanga ndio timu yenye quality ya wachezaji kuliko timu yoyote Ile hapa Tanzania,,ungesema wachezaji wameshuka viwango ningekuelewa na kushuka viwango inachangiwa na mambo mengi ikiwemo fatique,,yanga katumia nguvu kubwa sana kwa misimu 3 iliyopita kujijengea ufalme wake kwaiyo ni kawaida wachezaji kukumbana na hali kama iyo kwa kipindi Fulani lakini aiondoi ubora wao na class waliyonayo!
Kingine utueleze wachezaji waliookotezwa na viwango vyao pia tutakujibu!
'Looser' ndyo nini?Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!