Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah kumbe ndomana....Sare huku wakiwa pungufu na bado wachezaji zaidi ya 7 hawakuwepo walikuwa kwenye timu zao za mataifa
Wamejikitaje kwenye vyombo vya habari? Kuna timu ambayo Haina ushirikiano na vyombo vya habari? Mbona nyie pia mmejikita kwenye vyombo vya habari!1. Wanaokoteza wachezaji
2.wamejikita zaidi kwenye vyombo vya habari badala ya kuimarisha benchi la ufundi, (media)
3. Una badilisha kocha mkuu huku ukijua kuna mchezo muhimu unakuja mbele yako, (expecting results from what you know), changamoto huwa hatuzikimbii inatakiwa tukabiliane nazo
Kocha mpya kawaambia, (waandishi wa habari), wachezaji hawana nishati ya kutosha kucheza dakika 90, je hilo lilikuwa jukumu la nani kama siyo viongozi, viongozkazi ya ni,(monitoring and evaluation)
Swali fikirishi kwanini wachezaji hawana nishati ya kutosha, kumbuka mwili wa wachezaji wa yanga ni mwili wa yanga, ni jambo la ajabu kama siyo aibu mchezaji analiowa milioni 35 halafu eti mwli wake hauna nishati ya kutosha?
Ata atujui labda uwaulize walengwa watakupa majibu mazuri'Looser' ndyo nini?
Usiwawekee watu maneno yako ya kuokoteza uonekane uko sahihi,,Mwamnyeto alitumia neno "Wakija vibaya"" elewa maana ya ilo neno,,na akusema direct kwamba watakula mkono kairudie Ile interview yake acha kupitisha watu!Wakati mnasema Al Hilal watakula mkono, yaani goli tano, hamkujua kama wao ni mabingwa? Hamkujua kuwa hakuna mteremko? (ingawa umeandika 'akuna')
Huwezi kupata suluhisho kama kazi yako ni ubishi mimi nimetoa hoja kama mdau wa michezo,,(am not closed minded). I will call a spade a spade not a big spoonWamejikitaje kwenye vyombo vya habari? Kuna timu ambayo Haina ushirikiano na vyombo vya habari? Mbona nyie pia mmejikita kwenye vyombo vya habari!
Nimekwambia taja hao wachezaji waliookatezwa kwasababu timu inayoongoza kwa kupoteza wachezaji ni timu yako ya Simba!
Kubadilisha kocha inategemea na analysis inayokuwa imefanywa na viongozi, wao ndio wanajua kocha anayo shida Gani kwenye bench la ufundi,,wanayajua ya ndani zaidi tofauti na mnavyofikiria nyie,,ivyo kubadilisha kocha aijalishi unambadilisha kwa muda Gani ni mambo ya ndani ya klabu!
Kutokuwa na fitness kwa wachezaji ni suala la kukosa kucheza mechi ya kiushindani kwa muda mrefu,,siwezi kuwalaumu viongozi kwenye ilo kwakuwa walikuwa bado wanafanya homework yao kuirudisha timu kwenye njia sahihi na wachezaji wengi walikuwa timu za taifa!
Kwa maana iyo uwezi kusema uongozi ni dhaifu kwasababu eti timu imekosa fitness mbona nyie timu yenu inacheza kipindi kimoja tu kisha inakata moto kwanini ujasema Mangungu na Mo ni dhaifu!
Wewe bwana usijifiche kwenye kichaka cha mdau wa michezo wewe sema ni shabiki wa Simba tukuelewe kwani utanyongwa? Maswali yako yanaonyesha ivyo sababu nimekuuliza ni klabu Gani aina ushirikiano na vyombo vya habari ukujibu,,nimekuuliza kitendo cha kukosa fitness ndio uongozi umekuwa dhaifu kwasababu iyo ukujibu,,Aya unasema yanga kaokoteza wachezaji nimekwambia taja wachezaji waliookotezwa ukutaja sasa watu wa dizaini yenu tunawajua vizuri sana Wala amtusumbui,,unajifanya eti mdau kumbe ni wale wale mtaa wa pili!Huwezi kupata suluhisho kama kazi yako ni ubishi mimi nimetoa hoja kama mdau wa michezo,,(am not closed minded). I will call a spade a spade not a big spoon
Kwanza binadamu akipata changamoto ndipo anaamsha ubongo kukabiliana na changamoto na anapofanya hivyo huibuka na ubunifu
Kwenye club ya yanga anaye takiwa kusababisha mechi ya kiushindani kabla ya mechi ya mzunguko ni naniWamejikitaje kwenye vyombo vya habari? Kuna timu ambayo Haina ushirikiano na vyombo vya habari? Mbona nyie pia mmejikita kwenye vyombo vya habari!
Nimekwambia taja hao wachezaji waliookatezwa kwasababu timu inayoongoza kwa kupoteza wachezaji ni timu yako ya Simba!
Kubadilisha kocha inategemea na analysis inayokuwa imefanywa na viongozi, wao ndio wanajua kocha anayo shida Gani kwenye bench la ufundi,,wanayajua ya ndani zaidi tofauti na mnavyofikiria nyie,,ivyo kubadilisha kocha aijalishi unambadilisha kwa muda Gani ni mambo ya ndani ya klabu!
Kutokuwa na fitness kwa wachezaji ni suala la kukosa kucheza mechi ya kiushindani kwa muda mrefu,,siwezi kuwalaumu viongozi kwenye ilo kwakuwa walikuwa bado wanafanya homework yao kuirudisha timu kwenye njia sahihi na wachezaji wengi walikuwa timu za taifa!
Kwa maana iyo uwezi kusema uongozi ni dhaifu kwasababu eti timu imekosa fitness mbona nyie timu yenu inacheza kipindi kimoja tu kisha inakata moto kwanini ujasema Mangungu na Mo ni dhaifu!
Sijakuelewa vizuri,,kabla ya mechi ya mzunguko?Kwenye club ya yanga anaye takiwa kusababisha mechi ya kiushindani kabla ya mechi ya mzunguko ni nani
Dada mbumbumbu upoBado unapumua???
View attachment 3162929
Wewe bwana usijifiche kwenye kichaka cha mdau wa michezo wewe sema ni shabiki wa Simba tukuelewe kwani utanyongwa? Maswali yako yanaonyesha ivyo sababu nimekuuliza ni klabu Gani aina ushirikiano na vyombo vya habari ukujibu,,nimekuuliza kitendo cha kukosa fitness ndio uongozi umekuwa dhaifu kwasababu iyo ukujibu,,Aya unasema yanga kaokoteza wachezaji nimekwambia taja wachezaji waliookotezwa ukutaja sasa watu wa dizaini yenu tunawajua vizuri sana Wala amtusumbui,,unajifanya eti mdau kumbe ni wale wale mtaa wa pili!
Umesema hivi wacheza hawakuwa na mechi fitness kwavile hawakupata mechi ya ushindani kabka ya mchezo wa jana narudia swali jukumu la kuandaa mchezo shindani kabla ya mechi ya jana kwenye club ya yanga lilitakiwa liwe la nani?Sijakuelewa vizuri,,kabla ya mechi ya mzunguko?
Swali lako nishakujibu fatilia,,nimekwambia uongozi usingeweza kuandaa mechi kwa muda huo kwakuwa walikuwa kwenye kurekebisha palipokuwa panavuja ivyo focus yao ilikuwa kwenye mchakato wa kutafuta kocha mpya kwanza,,kwa maana iyo icho kitu akiwezi kuwaondolea sifa ya utendaji wao Bora!Umesema hivi wacheza hawakuwa na mechi fitness kwavile hawakupata mechi ya ushindani kabka ya mchezo wa jana narudia swali jukumu la kuandaa mchezo shindani kabla ya mechi ya jana kwenye club ya yanga litakiwa liwe la nani?
Timu Bora Iko ligi ya mabingwa Tabora Yuko wapi?Tabora United ni Bora kuliko Yanga
Looser cup ndo nini dogo? Muwe mnaenda shule. Maana hata hujui unachoandika.Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!
Ni kombe la washindwa ambalo mpo nyie,,kiufupi ni kombe la zile timu za nyongeza zilizoshika nafasi za 3 na 4,,Looser cup ndo nini dogo? Muwe mnaenda shule. Maana hata hujui unachoandika.