kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Yanga ana robo fainal ngapi huko Champion ligi!Wewe ulishindwa nini kupata nafasi ya kucheza na hao mabingwa wa ligi iliyotuama ili uwafunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ana robo fainal ngapi huko Champion ligi!Wewe ulishindwa nini kupata nafasi ya kucheza na hao mabingwa wa ligi iliyotuama ili uwafunge?
Wewe una ngapi na ulifika wapi? Yanga kacheza fainali kombe hilo hilo la wakina mama mlililopo but nyie mlishindwa ata uko kuvuka kwa misimu 4,Yanga ana robo fainal ngapi huko Champion ligi!
Al Hilal alikuwa bingwa wa ligi ipiNaona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!
Mbovu toka mwanzo wakati tumefunga goli 11 mechi mbili za mwanzoIli kufikia malengo ni vema tukajitathmini kiuweledi na sio kimahaba.
1. Yanga msimu huu ilishaonekana ni mbovu toka mwanzo, ushindi wa goli Moja lakini kwa mahaba yanga wakawa wanajipa moyo kuwa kikubwa pointi tatu kumbe wakasahau kuwa kwenye peak yao ilikuwa ni mwendo wa Kono la nyani.
2. Msimu huu yanga alikuwa hajaonja Radha ya ushindani ya CAFCL kutokana na kupangiwa vibonde katika hatua za awali. Na kibaya walipoambiwa ukweli kuwa wamejipigia vibonde wakaja juu kuwa hao ni mabingwa wenzao. Sawa, ila Radha kamili ilipofika yanga imeonekana.
3. Msimu huu yanga kafungwa na Azam (sio bingwa), kafungwa na tabora (sio bingwa) kafungwa na Al hilal (hakushiriki ligi yoyote msimu uliyopita hivyo nae sio bingwa). Kuendelea kujifichia kichaka cha "mabingwa" wakati kafungwa na timu zisizokuwa bingwa ni kuendelea kukaa na tatizo bila kujua suluhisho lake.
4. Yanga wakubali kuwa timu imeshuka kiwango, muunganiko na morali. Njia pekee ya kuisaidia yanga ni uongozi kufuata maneno ya mwalimu Nyerere. "TUJISAHIHISHE" Vinginevyo, vipigo vikiendelea vitathibitisha ule uvumi wa kwamba "yanga walihama uwanja kwa sababu ya sindano zao kushtukiwa" pale chamazi.
NB: Anayetaka kujenga soka la Tanzania achambue fact na sio kuongea bila kujibu fact zilizopo
Usiwawekee watu maneno yako ya kuokoteza uonekane uko sahihi,,Mwamnyeto alitumia neno "Wakija vibaya"" elewa maana ya ilo neno,,na akusema direct kwamba watakula mkono kairudie Ile interview yake acha kupitisha watu!
Simba kacheza fainal 1993 uwanja wa taifa(uhuru)magoli yaliyofungwa na bolizozo ulikuwa bado huko kwenu misugu robo fainali nne champion ligi sasa unataka kutoa ujumbe gani dj weka muziki wa nani atamkaba jibri sila au adama kolibaly!Wewe una ngapi na ulifika wapi? Yanga kacheza fainali kombe hilo hilo la wakina mama mlililopo but nyie mlishindwa ata uko kuvuka kwa misimu 4,
Tabora United nae tumueke kombe gani, la looser au la mabingwa..kwako ndugu mwandishiNaona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!
CCM tawi la Iringa watakutafuta kijana.😂
Tabora kumfunga yanga ni sawa na mende kufanikiwa kuangusha kabati uwa inayotokea kwenye Mpira lakini aiondoi ukweli kwamba Yanga Iko juu ya Tabora kwenye Kila kituTabora United nae tumueke kombe gani, la looser au la mabingwa..kwako ndugu mwandishi
Sasa wewe unatuletea story za miaka 40 iliyopita, ayo ayana maana kwa sasa tunaangalia current performance, ok mlipocheza izo robo fainali na fainali ni point ngapi mmezipata kwenye fifa ranking?Simba kacheza fainal 1993 uwanja wa taifa(uhuru)magoli yaliyofungwa na bolizozo ulikuwa bado huko kwenu misugu robo fainali nne champion ligi sasa unataka kutoa ujumbe gani dj weka muziki wa nani atamkaba jibri sila au adama kolibaly!
Kapataje nafasi ya kucheza klabu bingwa kama akuwa bingwa?Al Hilal alikuwa bingwa wa ligi ipi
Inamaana 93 ilikuwa bado hujazaliwa?Sasa wewe unatuletea story za miaka 40 iliyopita, ayo ayana maana kwa sasa tunaangalia current performance, ok mlipocheza izo robo fainali na fainali ni point ngapi mmezipata kwenye fifa ranking?
Sudan Wana ubingwa upi wakati kwao hakuna Ligi wako vitani ? UpuuziNaona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!
Waambie Yanga wenzetu!Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi zao!
Hivyo akuna kutegemea mteremko wa kukutana na zile timu za nyongeza kama bravos ama nyingine za aina iyo tuelewane hapo kwa herufi kubwa!
Yanga ni bingwa wa Tanzania, Al hilal ni bingwa wa sudani, Mc alger ni bingwa wa Algeria, Tp mazembe ni bingwa wa Kongo,, kwa maana iyo yanga isifananishwe na taka taka nyingine yoyote Ile kwenye michuano ya kimataifa Wanayoshiriki!
Kombe la washindwa ndio utazikuta timu aina ya Simba na bravos ambaoi hao bravos Awana tofauti na Dodoma Jiji,,,sasa unapataje ujasiri wa kuisuta yanga wakati wewe unakutana na nyambore? (Nyambore ni wale samaki waliooza kabla awajafika nchi kavu kutoka ziwani)
Unapomfunga mpinzani wa aina iyo alafu unakuja kutamba kwamba uko vizuri inatakiwa upimwe akili yako!
Ugumu wa kucheza na mabingwa ni tofauti na ugumu wa kucheza na Dodoma Jiji wa Angola mlijue hilo,, uku sio mchekea ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa barani afrika sio kombe la shirikisho hili( Shirikisho maana yake unashirikisha Kila kitu ni sawa na kokoro la dagaa linachota Kila kitu ata taka taka litabeba)
Kwaiyo kwa wale wote wanaoibeza yanga wawe na heshima na adabu wanakutana na timu zinazojielewa sio unga unga mwana!
Mambo ya yanga watayamaliza Wana yanga wenyewe sio wale aliowazungumzia bwana Rage!
Mi ndio nimeulizaKapataje nafasi ya kucheza klabu bingwa kama akuwa bingwa?
Alishiriki wakati Tanzania inatoa timu 4 kwenye michuano ya kimataifa ni kama Azam tu alivyoshiriki sasa Sudani Awana iyo sifa ya upendeleo kupeleka timu 4 ni timu Moja klabu bingwa na nyingine shirikisho,,Ivyo bingwa wa Sudan ni Al hilal NDIE anacheza klabu bingwa na Al merekh anacheza shirikisho!Mi ndio nimeuliza
Hata hivyo hata Simba walishawahi kushiriki club bingwa bila kuwa mabingwa
Wamepataje nafasi bila ligi kuwepo?Sudan Wana ubingwa upi wakati kwao hakuna Ligi wako vitani ? Upuuzi