Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

Wamejikitaje kwenye vyombo vya habari? Kuna timu ambayo Haina ushirikiano na vyombo vya habari? Mbona nyie pia mmejikita kwenye vyombo vya habari!
Nimekwambia taja hao wachezaji waliookatezwa kwasababu timu inayoongoza kwa kupoteza wachezaji ni timu yako ya Simba!
Kubadilisha kocha inategemea na analysis inayokuwa imefanywa na viongozi, wao ndio wanajua kocha anayo shida Gani kwenye bench la ufundi,,wanayajua ya ndani zaidi tofauti na mnavyofikiria nyie,,ivyo kubadilisha kocha aijalishi unambadilisha kwa muda Gani ni mambo ya ndani ya klabu!
Kutokuwa na fitness kwa wachezaji ni suala la kukosa kucheza mechi ya kiushindani kwa muda mrefu,,siwezi kuwalaumu viongozi kwenye ilo kwakuwa walikuwa bado wanafanya homework yao kuirudisha timu kwenye njia sahihi na wachezaji wengi walikuwa timu za taifa!
Kwa maana iyo uwezi kusema uongozi ni dhaifu kwasababu eti timu imekosa fitness mbona nyie timu yenu inacheza kipindi kimoja tu kisha inakata moto kwanini ujasema Mangungu na Mo ni dhaifu!
 
Wakati mnasema Al Hilal watakula mkono, yaani goli tano, hamkujua kama wao ni mabingwa? Hamkujua kuwa hakuna mteremko? (ingawa umeandika 'akuna')
Usiwawekee watu maneno yako ya kuokoteza uonekane uko sahihi,,Mwamnyeto alitumia neno "Wakija vibaya"" elewa maana ya ilo neno,,na akusema direct kwamba watakula mkono kairudie Ile interview yake acha kupitisha watu!
 
Huwezi kupata suluhisho kama kazi yako ni ubishi mimi nimetoa hoja kama mdau wa michezo,,(am not closed minded). I will call a spade a spade not a big spoon

Kwanza binadamu akipata changamoto ndipo anaamsha ubongo kukabiliana na changamoto na anapofanya hivyo huibuka na ubunifu

Narudi kwasasa yanga kiwango chao kiko chini sana ungozi na wanachama mjitafakari
 
Wewe bwana usijifiche kwenye kichaka cha mdau wa michezo wewe sema ni shabiki wa Simba tukuelewe kwani utanyongwa? Maswali yako yanaonyesha ivyo sababu nimekuuliza ni klabu Gani aina ushirikiano na vyombo vya habari ukujibu,,nimekuuliza kitendo cha kukosa fitness ndio uongozi umekuwa dhaifu kwasababu iyo ukujibu,,Aya unasema yanga kaokoteza wachezaji nimekwambia taja wachezaji waliookotezwa ukutaja sasa watu wa dizaini yenu tunawajua vizuri sana Wala amtusumbui,,unajifanya eti mdau kumbe ni wale wale mtaa wa pili!
 
Kwenye club ya yanga anaye takiwa kusababisha mechi ya kiushindani kabla ya mechi ya mzunguko ni nani
 
Nanunua YANGA mbovu na chuma chakavu.
All the best
 

Sijakuelewa vizuri,,kabla ya mechi ya mzunguko?
Umesema hivi wacheza hawakuwa na mechi fitness kwavile hawakupata mechi ya ushindani kabka ya mchezo wa jana narudia swali jukumu la kuandaa mchezo shindani kabla ya mechi ya jana kwenye club ya yanga lilitakiwa liwe la nani?
 
Umesema hivi wacheza hawakuwa na mechi fitness kwavile hawakupata mechi ya ushindani kabka ya mchezo wa jana narudia swali jukumu la kuandaa mchezo shindani kabla ya mechi ya jana kwenye club ya yanga litakiwa liwe la nani?
Swali lako nishakujibu fatilia,,nimekwambia uongozi usingeweza kuandaa mechi kwa muda huo kwakuwa walikuwa kwenye kurekebisha palipokuwa panavuja ivyo focus yao ilikuwa kwenye mchakato wa kutafuta kocha mpya kwanza,,kwa maana iyo icho kitu akiwezi kuwaondolea sifa ya utendaji wao Bora!
 
Looser cup ndo nini dogo? Muwe mnaenda shule. Maana hata hujui unachoandika.
 
Looser cup ndo nini dogo? Muwe mnaenda shule. Maana hata hujui unachoandika.
Ni kombe la washindwa ambalo mpo nyie,,kiufupi ni kombe la zile timu za nyongeza zilizoshika nafasi za 3 na 4,,
Nafikiri umenielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…