Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

Yanga ana robo fainal ngapi huko Champion ligi!
Wewe una ngapi na ulifika wapi? Yanga kacheza fainali kombe hilo hilo la wakina mama mlililopo but nyie mlishindwa ata uko kuvuka kwa misimu 4,
 
Al Hilal alikuwa bingwa wa ligi ipi
 
Mrembo wetu kanogewa na ukuni wa tabora basi Sasa hivi anagawa uroda tuu kwa kila mtu.
 
Mbovu toka mwanzo wakati tumefunga goli 11 mechi mbili za mwanzo
 
Usiwawekee watu maneno yako ya kuokoteza uonekane uko sahihi,,Mwamnyeto alitumia neno "Wakija vibaya"" elewa maana ya ilo neno,,na akusema direct kwamba watakula mkono kairudie Ile interview yake acha kupitisha watu!

Wewe una ngapi na ulifika wapi? Yanga kacheza fainali kombe hilo hilo la wakina mama mlililopo but nyie mlishindwa ata uko kuvuka kwa misimu 4,
Simba kacheza fainal 1993 uwanja wa taifa(uhuru)magoli yaliyofungwa na bolizozo ulikuwa bado huko kwenu misugu robo fainali nne champion ligi sasa unataka kutoa ujumbe gani dj weka muziki wa nani atamkaba jibri sila au adama kolibaly!
 
Tabora United nae tumueke kombe gani, la looser au la mabingwa..kwako ndugu mwandishi
 
Tabora United nae tumueke kombe gani, la looser au la mabingwa..kwako ndugu mwandishi
Tabora kumfunga yanga ni sawa na mende kufanikiwa kuangusha kabati uwa inayotokea kwenye Mpira lakini aiondoi ukweli kwamba Yanga Iko juu ya Tabora kwenye Kila kitu
 
Simba kacheza fainal 1993 uwanja wa taifa(uhuru)magoli yaliyofungwa na bolizozo ulikuwa bado huko kwenu misugu robo fainali nne champion ligi sasa unataka kutoa ujumbe gani dj weka muziki wa nani atamkaba jibri sila au adama kolibaly!
Sasa wewe unatuletea story za miaka 40 iliyopita, ayo ayana maana kwa sasa tunaangalia current performance, ok mlipocheza izo robo fainali na fainali ni point ngapi mmezipata kwenye fifa ranking?
 
Sasa wewe unatuletea story za miaka 40 iliyopita, ayo ayana maana kwa sasa tunaangalia current performance, ok mlipocheza izo robo fainali na fainali ni point ngapi mmezipata kwenye fifa ranking?
Inamaana 93 ilikuwa bado hujazaliwa?
 
Sudan Wana ubingwa upi wakati kwao hakuna Ligi wako vitani ? Upuuzi
 
Waambie Yanga wenzetu!
Tusipotulia tutavurugana mpaka tutashuka daraja! Ni muda tujipange, tutulie, hakuna timu isiyopoteza michezo, mifano mingi.
Busara itumike.
YANGA OYEE!
 
Mi ndio nimeuliza
Hata hivyo hata Simba walishawahi kushiriki club bingwa bila kuwa mabingwa
Alishiriki wakati Tanzania inatoa timu 4 kwenye michuano ya kimataifa ni kama Azam tu alivyoshiriki sasa Sudani Awana iyo sifa ya upendeleo kupeleka timu 4 ni timu Moja klabu bingwa na nyingine shirikisho,,Ivyo bingwa wa Sudan ni Al hilal NDIE anacheza klabu bingwa na Al merekh anacheza shirikisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…