Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

Tatizo unaandika kishabiki sana. Au unataka tuamini kuwa hamkuchoma zile sindano zenu??
Kifupi ni kuwa Yanga bila GSM kwa ligi ya ndani si kitu si lolote!
Kule ligi ya mabingwa mtachezea vichapo sana msimu huu!
Modern soccer haina janja janja na uhuni!
 
Unao ushahidi wa hizo sindano unaweza kuutoa pasipokuwa na shaka? Na Simba bila kanjibhai ni lolote? Ligi ya mabingwa aichezwi na wasiojiweza kiubora,, ubora wako ndio unakufanya ucheze ligi ya mabingwa,,kufungwa ni sehemu ya mchezo aiondoi class ya timu husika lielewe hilo waambie na wenzako!
 
kachome Sindano uzuie mimba hiyo
 
Hivi ninyi Yanga mlichezaga fainali gani vile za Afrika? Au hamkuwahi kushiriki?
 
Kwa hiyo yanga in underdog πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kelele zinapigwa na wanachama na mashabiki wenu tuko nao hapa, wengi wakilaumu maamuzi ya kumfukuza kocha gamondi na wengine wakilalamikia wachezaji, na tatizo sio kufungwa na ibenge, Bali ni vipigo kufululiza, swali ni je: wauaji wa kusini nao wakifanya yao itakuaje?
 
Class is permanent but form is temporary.
Kuhusu sindano, nyie jikusanyeni mkifika wabishi 10+ mseme suu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…