Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,928
Kuna huyu Mwana Chit Chat almaarufu.............sorry jina limetoka kidogo akisulubiwa na mwana chit chat mwenzake, kisa............. 537160_439827662761888_1523113963_n.jpg
 
Kwa harakaharaka huyu jamaa atakua anawakilisha watu wengi hapa mf. Waliokwisha pewega vipigo na siri zikavuja ni kama Chimbuvu ashapewaga kichapo na Li- Madame B!
Erickb52 alichezea kichapo toka Amyner!
Bishanga toka Mamndenyi (enzi-zao)
Even Mswati kuna fununu alishachezeaga mkong'oto toka Madame B (enzi-zao)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom