tena kule kwa majirani ndio balaa zaidi, wanaume wanavunjwa viuno kila siku....
nimekosea wapi? umesahau siku ileeee..........!! tena amu ndo alikugombelezea!
St. Paka Mweusi
huko nako mnakula kichapo kama hivyo?
Ah! Nawe kwa kutunza kumbukumbu sikuwezi dah! Ila yule hakuwa amu alikuwa Passion Lady aisee!
Tafadhali hizo hasira zisihamie kwangu hahahaaah!!
Lady doctor so umeamua kutoka na Chimbuvu?
ha ha haaa nimependa hiyo ya kunyimwa
sijambo,
mambo yanakwendaje.
Mr Rocky nakuheshimu sana ila kwa hili la kutangazana sinto vumilia....!!
Ah! Nawe kwa kutunza kumbukumbu sikuwezi dah! Ila yule hakuwa amu alikuwa Passion Lady aisee!