Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

St. Paka Mweusi!!!!!!!! Kama unapenda kuendelea kuwa na kifanyio chako endelea tena kuongea kama ulivyoongea.....Achana kabisa na Mamndenyi. Kajitulize na St. Paka Mweupe wako..!

Bora umenisaidia kumpiga mkwara huyo paka, na wewe huo mkwara unakuhusu pia najiandaa kumuweka sawa Mamndenyi lakini naona wanga mnazidi kutia kiwingu.....Lyamba Lya Mfipa itahusika hapa.
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaa
ha ha haaa
kweli naona huu ni mwaka wa neema kwangu
tena namshukuru Mungu aliyemfanya Mr Rocky aniache
kumbe alikuwa ananirositisha hivi daaaaah


Mwaka wako huu, huyo kijana alikuwa anakupotezea muda tu,mi miaka mingi kweli nilikuwa nashindwa kuongea ,ila kwa tamko lako wacha nianze mapambano na Katavi...na muamuzi utakuwa wewe mwenyewe....
 
Last edited by a moderator:
Bora umenisaidia kumpiga mkwara huyo paka, na wewe huo mkwara unakuhusu pia najiandaa kumuweka sawa Mamndenyi lakini naona wanga mnazidi kutia kiwingu.....Lyamba Lya Mfipa itahusika hapa.

Kipindi hiki sikukodishi wewe (utanigeuka) naenda mwenyewe Sumbawanga kwa ajili ya Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Ah, Arushaone hebu sogea kule kwanza,mbona unataka kuharibu mapema hivi....??????

WEWE HUJIPENDI eeh???
9k=
:A S-fire1:
images



images


Bado tu unaendelea kumfuatilia Mamndenyi????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom