Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

sio ubabe...........ni mahaba hayo......refer kwa wale wanaotoka kule ule mkoa wa babu wa taifa

Ha ha ha haaah!! Kule kwa babu wa taifa anapigwa mwanamke na sio mwanaume kama hapa...........labda kama utamaduni nako umebadilika siku hizi...........
c.c: Mwita Maranya.
 
Last edited by a moderator:

unabadilika siku hizi.......ukivuka mpaka ukaingia inji jirani kwa kinamama kayayii mambo ndo hayo siku hizi!!!
 
Ngoja niwajibu mafungu mafungu
kwa heshima sitaki niwataje majina yenu hapa,
Mamndenyi siyo mkorofi
niko very peace, sema tu sina bahati ya kuwa na mwanaume mtulivu
huwa napata machekibob ambao macho yao yako juu juu ndiyo maana naachika mara kwa mara.

Ila kwa sasa nitajitahidi kumpata mwanaume mwelewa ili niweze kudumu naye.
 
Safari hii utanipata mimi muelewa inshaallah...!!
 
unabadilika siku hizi.......ukivuka mpaka ukaingia inji jirani kwa kinamama kayayii mambo ndo hayo siku hizi!!!

tena kule kwa majirani ndio balaa zaidi, wanaume wanavunjwa viuno kila siku....
 
honey, don't tell kwamba umechezea kichapo from Madame B

alikutwa katika mazingira hayo....
1.jpg
 
Back
Top Bottom