Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
- Thread starter
- #61
Hii ni kashfa kubwa sana kwa mheshimiwa mwenyekiti Baba V........ina maana anachezea kichapo?Mr Rocky nakuheshimu sana ila kwa hili la kutangazana sinto vumilia....!!
mbona mie sisemi yale uanyo tendewa au kwanini humsemi Baba V anavyofanyiwa kila siku na Mama v ? au unamuogopa kwa kuwa ni mwenyekiti????? au niseme kisa cha wewe kumkibia Mamndenyi ? nitakuharibia mpaka wachumba wakukimbie wooote.
Last edited by a moderator: