Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

halafu nitaacha kukuita doctor nikuite mganga,
unataka kusema Arushaone anitafute mimi ndo niwe mjakazi wenu
jaribu uone nitakachomfanyia huyo mumeo humo ndani kama haujaondoka ukaniachia house.

hahahahahahaaa ngoja nitawasiliana na Dena Amsi nijue alitumia mbinu gani kuku sambaratisha wewe kwa Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijui kwamba huogopi kuguswa bega, next time tukipishana nitakugusa bega Paloma

Mnaanzaga hivi hivi kuwarubuni wake za watu.. Mie ninakuangalia tu Mwita Maranya.. Naona unataka kuingia kwenye kundi la Erickb52 na wenzie.. Mke wa mtu ni sawa kung'olewa kucha bila ya ganzi..

im-watching-you.jpg..
 
Last edited by a moderator:
Mnaanzaga hivi hivi kuwarubuni wake za watu.. Mie ninakuangalia tu Mwita Maranya.. Naona unataka kuingia kwenye kundi la Erickb52 na wenzie.. Mke wa mtu ni sawa kung'olewa kucha bila ya ganzi..

View attachment 97521..

Mkuu sosoliso wala usitie shaka hata kidogo, nilikuwa sina uhakika kama Paloma yuko single ama double sasa nimeelewa, na ndio maana sikutaka kumgusa kwanza ili nipate uhakika.

Kwa maslahi ya kucha zangu natangaza kuwa sitamgusa bega tu bali nitam-hug kijontromeni!!!
 
khaaaaaaaaaaa
hivi kumbe sosoliso anatisha eenh.........!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom