Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Last edited by a moderator:
Arushaone kumbuka napenda ugomvi kuliko msosi, hapa naona unatangaza vita moto na sio baridi. sasa nitaanza na wewe kisha namalizia kwa Mr Rocky najua nikiwatwanga nitakuwa shujaa maana nitakuwa nimewatetea wanyonge wengi mnao wanyang'anya wake.

fanya hivyo aisee
 
Last edited by a moderator:
halafu nitaacha kukuita doctor nikuite mganga,
unataka kusema Arushaone anitafute mimi ndo niwe mjakazi wenu
jaribu uone nitakachomfanyia huyo mumeo humo ndani kama haujaondoka ukaniachia house.

Arushaone mpenzi, yule house girl niliyekuambia unitafutie bado hujampata?
Si nilikuambia utumie mbinu yoyote ile hata ya kimapenzi ili akubali?

Copy: Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom