Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

kabanga haiwezi kuzoeleka
kusutwa siyo mchezo
weee japo hajawahi (labda huku cc) kunitokea ila
ni ngumu, halafu iwe mtaani kwako
mbona utahama mtaa.

lakini unaweza kujifunza na kuzoea....?
 
Last edited by a moderator:
Arushaone naona bado moyo wako umeugawa vipande vipande
ujue wakati huu niko makini sana
sitaki mwanaume wa kunitosa tosa tena kama Mr Rocky ambaye
nilimbembeleza hata kwa lugha ya kwetu lakini akaziba masikio.
Si unajua yuko kifungoni eeh! Ukimtaja tu unakuwa umekiuka sheria za JF kwani hawezi kujitetea.
 
Last edited by a moderator:
nilimaanisha kupigwa kule kwingine siyo kwa bakora
hongera kwa kuwa na binamu nyama ya hamu wa ukweli.

Mamndenyi hata mimi nilimaanisha kupigwa kule kwingine labda hukunielewa vizuri!!!
Kuwa na binamu Madame B nyama ya hamu, tena supastar wa ukweli hapa Chit chat raha sana aisee. Kwani ninaringaje sasa!?

cc;kamanda Ben Saanane siku hizi kung'oa vitasa ndio mpango mzima.
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya ndugu yangu jifanyie siasa
sie huku uswazi ni kila leo tunapigwa talaka
hata hivyo mimi bado bado siihitaji tena hiyo kitu kwa thatha.
Mamndenyi nadhani sitakuwa nimekosea kukushauri sasa ujaribu bahati yako kwa mwanasiasa ili uachane na kero za talaka za kila leo huko uswazi. Hii ni nafasi ya upendeleo kwa ajili yako wewe tu.:disapointed::disapointed::disapointed:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom