Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Mamndenyi nadhani sitakuwa nimekosea kukushauri sasa ujaribu bahati yako kwa mwanasiasa ili uachane na kero za talaka za kila leo huko uswazi. Hii ni nafasi ya upendeleo kwa ajili yako wewe tu.:disapointed::disapointed::disapointed:
Mamndenyi wala usiwe na mashaka, hiyo ni disapointment yangu kutokana na madhila unayoyapata. Mwanamke mwenye "hishma" na mcha Mungu kama wewe hustahili hizo kero za uswazi kila leo. Mwita Maranya atosha...ha ha ha nyota njema inaonekana asubuhi
lakini umeweka tena hii :disapointed::disapointed::disapointed:
imenipa maswali au ndo siasa yenyewe hiyo.
Mamndenyi wala usiwe na mashaka, hiyo ni disapointment yangu kutokana na madhila unayoyapata. Mwanamke mwenye "hishma" na mcha Mungu kama wewe hustahili hizo kero za uswazi kila leo. Mwita Maranya atosha...
Mamndenyi mara moja moja huwa nakuona unachungulia mtaani kwetu halafu unapotea. Nitakupa maujanja ili usile ban kule siasani. Mimi nina miaka mitano hadi sasa hapa JF lakini sijawahi kupata hata warning!!Mwita Maranya hata hivyo leo nimeibukia kidogo siasani kwa ajili yako
ila naenda kwa kuogopa ogopa lakini leo nina msimamo + naamini nitatoka salama. Katavi kashindwa wa kuoa nakwambia alivyonikaba hata tai ina nafuu.
Mamndenyi mara moja moja huwa nakuona unachungulia mtaani kwetu halafu unapotea. Nitakupa maujanja ili usile ban kule siasani. Mimi nina miaka mitano hadi sasa hapa JF lakini sijawahi kupata hata warning!!
hayo ndo maneno Mwita Maranya
lazima nitoke kivingine Mr Rocky kuniacha kwake ndo mafanikio yangu
hata kama viti maalum hakuna lakini sitakosa hata ukuu wa wilaya
twende kazi Mwita Maranya, uswazi sirudi tena ukiona ujue nimepotea njia tu.
Kwa kuwa nitakuwa beneti na weye
sitaweza kuteleza kabisa.
Ayaaaa sasa hapo mbona unataka kunichangaanya tena? Mr Rocky ni swahiba wangu ujue!! Nilikuwa nadhani hii bugudha yoote unayopata inatoka kwa senior bachelor Katavi!!!
Ila kama naye ameshindwa kuku-handle with care wacha nimsaidie tu, sidhani kama atanifanyia fitna.
Viti maalum tayari rasimu ya Warioba imevifuta na Ukuu wa wilaya na mkoa tutaifuta katika katiba yetu ya Tanganyika. Lakini rest assured kwamba utafurahi na roho yako kadri utakavyokuwa kada mwaminifu na mzalendo.
akuuuu........sijawahi hata kucheza naye......!!!
Kwa uzuri kama huu ni ruksa kupiga kelele
![]()
Mwita Maranya hao wooote waache
hakuna mwoaji hata mmoja kati yao
unajua nalazimikia kukubaliana na wewe,
si unajua masilahi ya nchi kwanza
halafu ya mtu mmoja mmoja yanafuata nikianza na Mamndenyi
ila hala hala kucha zangu Mwita Maranya jamani.
Mmmmh unataka kusema ni ndoa ya siri? Mwita Maranya hapa unanipa woga wa moyo.
why ?. let me know. . . . . . Too late my friend.