Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

nimekosea wapi? umesahau siku ileeee..........!! tena amu ndo alikugombelezea!
Kwa uzuri kama huu ni ruksa kupiga kelele

8639_10200884261123367_1556894152_n.jpg
 
Kama kawa,
nimempiga mara nyingi sana.
We muangalie mapajani near Museum uone mialama ya meno niliyomuachia ilibaki nusu niondoke na malighafi zake.

aliniambia kuwa aling'atwa na mbwa mwenye kichaa..... Kumbe ndio wewe! Hakya nani sichezi na wewe!
 
Ngoja niwajibu mafungu mafungu
kwa heshima sitaki niwataje majina yenu hapa,
Mamndenyi siyo mkorofi
niko very peace, sema tu sina bahati ya kuwa na mwanaume mtulivu
huwa napata machekibob ambao macho yao yako juu juu ndiyo maana naachika mara kwa mara.

Ila kwa sasa nitajitahidi kumpata mwanaume mwelewa ili niweze kudumu naye.
Mamndenyi nipende mimi nitaacha hata kutumia:bange: na urafiki mimi na manoah nutauvunja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom