Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Mkuu nilishafundishwa hata sasa hivi naweza kukurushia moto.........HUOOOOO!!!!!!

images
images
images
images


E N D E L E A U O N E !!!


Hapa hakuna kutishana hapa, we inabidi niunge undugu na Katavi kwanza tukuondoe mashindanoni ili iwe kazi rahisi kwangu kumuondoa Katavi... Mamndenyi hebu pokea ujumbe huo mama...

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Yaani kwa vitisho hivi ndio mapenzi yangu kwake yameongezeka maradufu,jiandae kuachia ngazi tu kaka.Hapa huna chako...

Ungebahatika kukaa Arusha kwa siku moja tu wakati wa kampeni ukarushiwa hata bomu la machozi tu ungeondoka hata kwa miguu sembuse hayo makitu........Pan'chezeiya Arushaone na Mamndenyi weiye!!
 
Last edited by a moderator:
Ungebahatika kukaa Arusha kwa siku moja tu wakati wa kampeni ukarushiwa hata bomu la machozi tu ungeondoka hata kwa miguu sembuse hayo makitu........Pan'chezeiya Arushaone na Mamndenyi weiye!!


Nimekwambia hapa hatutishani bana,1995 nilikuwa Arusha kipindi Ngunguri hajawa Ngunguri na alituchapa mabomu ya machozi mpaka tulikaribia kuwa vipofu,nilipojiunga na jeshi la Nato 1999 ndio cha moto nilikiona lakini bado sikutishika itakuwa hayo,mmeshamnyanyasa sana Mamndenyi wangu huu ni muda wake wa kutulia na mtakatifu sasa hivi...
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mwenyewe sijui kajificha wapi.............hebu kuja huku watu wanataka kutoana macho kisa wewe.
 
Last edited by a moderator:
Nimekwambia hapa hatutishani bana,1995 nilikuwa Arusha kipindi Ngunguri hajawa Ngunguri na alituchapa mabomu ya machozi mpaka tulikaribia kuwa vipofu,nilipojiunga na jeshi la Nato 1999 ndio cha moto nilikiona lakini bado sikutishika itakuwa hayo,mmeshamnyanyasa sana Mamndenyi wangu huu ni muda wake wa kutulia na mtakatifu sasa hivi...
Mamndenyi anakujua wewe ni MTAKAVITU na siyo MTAKATIFU kama unavyotaka aamini.....Hadanganyiki!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom