Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Last edited by a moderator:
honey, don't tell kwamba umechezea kichapo from Madame B

Kama kawa,
nimempiga mara nyingi sana.
We muangalie mapajani near Museum uone mialama ya meno niliyomuachia ilibaki nusu niondoke na malighafi zake.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi anakujua wewe ni MTAKAVITU na siyo MTAKATIFU kama unavyotaka aamini.....Hadanganyiki!


Bado kidogo tu ntakubwaga maana umeshakuwa muflis wa sera,sasa unaanza kumsemea na kuniteta kilugha unafikiri sikielewi,subiri kidogo arudi mana kajificha baada ya kuona huu mpambano, ila keshaniambia we na Katavi anawadanganya tu...
 
Last edited by a moderator:
Bado kidogo tu ntakubwaga maana umeshakuwa muflis wa sera,sasa unaanza kumsemea na kuniteta kilugha unafikiri sikielewi,subiri kidogo arudi mana kajificha baada ya kuona huu mpambano, ila keshaniambia we na Katavi anawadanganya tu...

Niko na Mamndenyi anaandaa dinner wewe endelea kubwabwaja weeee mpaka uzimike.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom