Mamndenyi na Lady doctor kujeni mtembeze kichapo kwa huyu nyumba kubwa maana anawaaibisha.
ama kweli mganga hajigangi!! mwakahuu nami naenda somea u doctor.
sijaandika mimi hayo maneno nahisi kuna mtu kaniibia password mpenzi
naona mchelemchele hapa sijui ndio dijitali ama analojia?
Lady doctor so umeamua kutoka na Chimbuvu?
usijali darling, huyo si ndiyo yule shamba boy wetu aliyetoroka home? Nambembeleza arudi tena kazini
Aaahh ndio yule ambaye sehemu zake za kiumeni zilitolewa?
haaaaaah!!! Mpenz hazijatolewa bado zipo tena nimeziona kwa macho yangu!!
Aaahahhh usingizi huu,naota sa hv hizi ndoto zingine bana
tulipotoka ni mbaliii,tuvumiliane,sahau yote yaliyopitaa tugange yajayo nalingi na ngai na motema Lady doctor
kwani hana?