Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

ha ha ha haaa
ha ha hivi Mwita Maranya unajua kuita mpenzi kweli umdhania siye kumbe ndiye
ha ha haaaa Mamndenyi mie jamani nina raha kiasi gani kumpata Mwita Maranya,
kwi kwi kwiiii, Baba V hana mpango wowote wa kimapenzi na mimi, yeye anataka kufundishwa somo la kilimo cha miti
bila shaka kwa sasa tutakuwa wote ili umbeya wake umwishie.
Mwita Maranya asante kwa kuifanya hii siku yangu
have a good evening.
Wala usitie shaka yoyote mpenzi wangu Mamndenyi. Nimeng'atwa sikio na mdau kuwa huyo mwenyekiti alikuwa anakuvizia sasa akipewa taarifa kuwa atoe baraka za mimi kukuoa anaweza kuweka kauzibe. Na ndio sababu nimemtaja ili ajue kuwa hila zake tushazifahamu. Azawaizi mimi na wewe, wewe na mimi hadi ukamilifu wa jamhuri ya cc.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haaa
ha ha hivi Mwita Maranya unajua kuita mpenzi kweli umdhania siye kumbe ndiye
ha ha haaaa Mamndenyi mie jamani nina raha kiasi gani kumpata Mwita Maranya,
kwi kwi kwiiii, Baba V hana mpango wowote wa kimapenzi na mimi, yeye anataka kufundishwa somo la kilimo cha miti
bila shaka kwa sasa tutakuwa wote ili umbeya wake umwishie.
Mwita Maranya asante kwa kuifanya hii siku yangu
have a good evening.
ina maana Mwita Maranya katupiga bao, sikubali....!
 
Tatizo kubwa linalowakabili warembo wengi kama wewe mpenzi Mamndenyi ni perception. Nadhani kuanzia sasa utakuwa balozi mzuri kwa ajili ya kuwatoa tongotongo wenzako wanaotuhofia wanasiasa na hasa sisi wa kutoka "kure kwetu".

Basi nikutakie jioni njema yenye amani ndani ya moyo wako na utulivu wa roho wakati huu unapoanza maisha mapya ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hakuna mwaliko kwa senior bachelor Katavi umeonyesha kuwa na nia mbaya tangu mwanzo kwahiyo habari ya mwaliko wewe sahau kabisa.

ina maana Mwita Maranya katupiga bao, sikubali....!

Usisahau kutualika wa uswazi ktk hiyo ndoa..

Ushauri wa bure ukimpata mwingine anayekupenda kama ulivyokuwa unapendwa na ex wako Mamndenyi usimletee nyodo tena. Vinginevyo utakula za uso tena...
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mwaliko kwa senior bachelor Katavi umeonyesha kuwa na nia mbaya tangu mwanzo kwahiyo habari ya mwaliko wewe sahau kabisa.

Ushauri wa bure ukimpata mwingine anayekupenda kama ulivyokuwa unapendwa na ex wako Mamndenyi usimletee nyodo tena. Vinginevyo utakula za uso tena...
Sawa mheshimiwa nimekaa mbali na Mamndenyi. Mimi nasubiri 40 za eda zitimie atakuja mwenyewe (nimeambiwa na babu niwe na subira)
 
Last edited by a moderator:
haji kwangu...kwangu kuna speshalisti wa kung'oa bila ganzi! hathubutu hata kusogea!!!
ila akienda huko niikomaanisha ntakushtua Mwita Maranya

Aah Paloma mbona unamfanyia hivyo Arushaone mtoto wa mwanamke mwenzio? Yani kama vile siamini macho yangu, kwamba King Mswati amedoda kiasi hiki?! Anyway we nishtue tu huko huko atakokuwa.

Afu ujue juzi tumepishana mahali fulani bahati mbaya sikukutambua mapema.
 
my goooodness!!! tumekutana wapi jamani na mbona hukunigusa bega?!?!?

huyu Arushaone namjua makeke yake....siyawezi mie!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom