Huyu hapa na ngozi yake nyeusi ndio iliyomponzaAli abdicate
Unajua alipokufa Sheikh Jabir huyo Saad alikuwa kwenye wheelchair mgonjwa sana
Kwa kuwa alikuwa next to the throne ilibidi apewe tu lakini hata hivyo baada ya miaka miwili tu akafariki
Alikuwa waziri mkuu kwa miaka mingi tu
Sasa hapa kwetu MTU anaitwa Ecson wakati Ni mweusi tii.WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
Sasa huyo Saad mbona baba yake alioa kijakazi wake?Obama angalikuwa Uarabuni angeishia kuosha Dishes.
Huyo Kijakazi alikuwa wa Kihabeshi au Kisomali alikuwa ni mzuri kweli kweli Shehe uzalendo ukamshinda akashika Mguu.Sasa huyo Saad mbona baba yake alioa kijakazi wake?
Obama mkenya wasikusikie jirani
Tatizo akili huna Qur'an haiongelei ya pale tu iliongelea ya mwanzo, yapale na yatakayo kuja.Quruani ilitungwa Miaka 1350 iliyopita hizo Stori za Abraham ni za miaka 3000 iliyopita kwasababu hiyo basi Quruani ni uongo mtupu.
Utakuta mbantu unajua tena ni kama pasi kwa joto ๐ ๐คฃHuyo Kijakazi alikuwa wa Kihabeshi au Kisomali alikuwa ni mzuri kweli kweli Shehe uzalendo ukamshinda akashika Mguu.
Mbona Quruani haikuongelea I phones imeongelea tu kwamba Kiama hakitatokea mpaka "Makafiri" yaani Wakristo na Wayahudi watakapouwawa.Tatizo akili huna Qur'an haiongelei ya pale tu iliongelea ya mwanzo, yapale na yatakayo kuja.
Unajua tena Wanawake wa Kiafrika walivyokuwa na Figure sio Vimbaumbau.๐คฃUtakuta mbantu unajua tena ni kama pasi kwa joto ๐ ๐คฃ
Kwa hiyo maslahi ya Afrika yatazingatiwa au tunaendelea na ulimbukeni wa kipumbavu kama kawaida?Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.
Kemi ana Degree ya Kwanza na ya pili ya katika Computer Systems Engineering. Pia ana Degree katika Sheria. Mdada huyu endapo ataendelea vizuri, ana nafasi kubwa ya kuwa Waziri wa Kwanza Mwenye Asili ya Africa katika Taifa hili ambalo ni moja ya Mataifa Makubwa yenye Ushawishi Duniani
Mdada huyu amemshinda mpinzani wake Robert Jenrick yeye akipata kura 53,806 (56.6%) dhidi ya Mr Jenrick aliypata 41, 212 (43.4%)
View attachment 3141572
View: https://www.youtube.com/watch?v=a-CXq9auN9E
Qur'an imeongelea watu wataongea live wanaonana wako mbali kabla hata hizo technology mnazo zisifia. Qur'an imeongele gari na ndege bado hata gari na ndege hazikufika. Kasome Surah Yasini utapata jibu.Mbona Quruani haikuongelea I phones imeongelea tu kwamba Kiama hakitatokea mpaka "Makafiri" yaani Wakristo na Wayahudi watakapouwawa.
Qur'an imeongelea watu wataongea live wanaonana wako mbali kabla hata hizo technology mnazo zisifia. Qur'an imeongele gari na ndege bado hata gari na ndege hazikufika. Kasome Surah Yasini utapata jibu.
IPhone siwewe tu mshamba ndio unaona Qur'an haikuongelea mawasiliano ๐
Kwanini Muhammed alitumia Farasi kwenda kwenye Space ni kwamba hakujua anaongea nini huko juu hakuna Oxygen yeye na farasi wake wangekufa๐
We sa umeishiwa huna jipya
We bwege sana vipi hakujua na yeye kawambia kabla ya hao ma scientist kugundua.Kwanini Muhammed alitumia Farasi kwenda kwenye Space ni kwamba hakujua anaongea nini huko juu hakuna Oxygen yeye na farasi wake wangekufa๐
View attachment 3142793
We bwege sana vipi hakujua na yeye kawambia kabla ya hao ma scientist kugundua.
View: https://youtu.be/8WvRJYOExGM?si=ZPdW67imZZg0Pdlq
Ukweli unauma Ndugu.We sa umeishiwa huna jipya