Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Ali abdicate
Unajua alipokufa Sheikh Jabir huyo Saad alikuwa kwenye wheelchair mgonjwa sana
Kwa kuwa alikuwa next to the throne ilibidi apewe tu lakini hata hivyo baada ya miaka miwili tu akafariki

Alikuwa waziri mkuu kwa miaka mingi tu
Huyu hapa na ngozi yake nyeusi ndio iliyomponza
81uJ2SR8MRL.jpg

kuwait-sheikh-saad-al-abdullah-al-salim-al-sabah-in-kuwait-on-september-01-1992.jpg

Wakati USA 👇
Barack-Obama.jpg
 
WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
Sasa hapa kwetu MTU anaitwa Ecson wakati Ni mweusi tii.
 
Quruani ilitungwa Miaka 1350 iliyopita hizo Stori za Abraham ni za miaka 3000 iliyopita kwasababu hiyo basi Quruani ni uongo mtupu.
Tatizo akili huna Qur'an haiongelei ya pale tu iliongelea ya mwanzo, yapale na yatakayo kuja.

Kwa hio Injili ya Yesu haikuongelea ya mwanzo iliongele ya wakati ule wa Yesu tu. Sa vipi mlimjua Ibrahim na Mussa walikuja kabla ya Injil kwa hio Injil ya Yesu nayo uongo mtupu sio. Wachana na bibilia hilo ni gazeti sio kitabu cha Mungu, kuna point ziko wame quote za Taurat na Injil lakini labda 50/50 yalio baki yote ni gazeti toleo la Paulo na wandishi wengine Matthew, Luke, John na Mark wamezidisha chumvi na wako mnali na mafunzo ya Yesu.
 
Common wealth si ni mlemle? Tatizo tu hata bongo tungekuwa na nafasi kubwa kuliko hata hiyo

Tatizo ni ngeli na inatokana na yule gavana aliyekabidhiwa Tanzania ndiye nadhani alikuwa hajui ngeli na ndiye aliyetuambukiza ugonjwa huu

Wenzetu Zambia wako poa, Malawi poa, Uganda poa, Kenya poa, Zimbabwe poa bongo hata uishi ulaya miaka 40 uwe dayaspora wa klabu hausi ukiambiwa uongee chenyewe kavu saa nzima inaaza ku scratch. Usome medium, uwe pfofesa hapa ngeli ilishagoma kabisaaa
 
Tatizo akili huna Qur'an haiongelei ya pale tu iliongelea ya mwanzo, yapale na yatakayo kuja.
Mbona Quruani haikuongelea I phones imeongelea tu kwamba Kiama hakitatokea mpaka "Makafiri" yaani Wakristo na Wayahudi watakapouwawa.
 
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.
Kemi ana Degree ya Kwanza na ya pili ya katika Computer Systems Engineering. Pia ana Degree katika Sheria. Mdada huyu endapo ataendelea vizuri, ana nafasi kubwa ya kuwa Waziri wa Kwanza Mwenye Asili ya Africa katika Taifa hili ambalo ni moja ya Mataifa Makubwa yenye Ushawishi Duniani
Mdada huyu amemshinda mpinzani wake Robert Jenrick yeye akipata kura 53,806 (56.6%) dhidi ya Mr Jenrick aliypata 41, 212 (43.4%)
View attachment 3141572

View: https://www.youtube.com/watch?v=a-CXq9auN9E

Kwa hiyo maslahi ya Afrika yatazingatiwa au tunaendelea na ulimbukeni wa kipumbavu kama kawaida?

Tutafute viongozi bora wa kituongoza badala ya huu ujinga ujinga tunaouendekeza eti Mwafrika wa kwanza kuwaongoza wazungu
 
Mbona Quruani haikuongelea I phones imeongelea tu kwamba Kiama hakitatokea mpaka "Makafiri" yaani Wakristo na Wayahudi watakapouwawa.
Qur'an imeongelea watu wataongea live wanaonana wako mbali kabla hata hizo technology mnazo zisifia. Qur'an imeongele gari na ndege bado hata gari na ndege hazikufika. Kasome Surah Yasini utapata jibu.

IPhone siwewe tu mshamba ndio unaona Qur'an haikuongelea mawasiliano 😄
 
Qur'an imeongelea watu wataongea live wanaonana wako mbali kabla hata hizo technology mnazo zisifia. Qur'an imeongele gari na ndege bado hata gari na ndege hazikufika. Kasome Surah Yasini utapata jibu.

IPhone siwewe tu mshamba ndio unaona Qur'an haikuongelea mawasiliano 😄
ef7w2fbk0bi51.jpg

z887anfihu461.jpg

😆😆😆😆😆
 
IMG_7609.jpeg


Mbona ‘Vaughan Gething’ ni Mzambia wa kuzaliwa na keshakuwa ‘Welsh’ first Minister.

Kemi ni ghasia tu, yes it’s history; lakini chances ni interim leader tu. Wakati conservatives wanajipanga kumpata mzungu anaewafaa.

Vinginevyo wakisema waende nae uchaguzi ujao, Conservative kushinda uchaguzi ujao watakuwa na nafasi ndogo sana hata Labour waboronge vipi.
 
Back
Top Bottom