Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Umesema mwafrica wa kwanza kua waziri? Kabla ya Sunak, kulikua na waziri wa fedha mweusi from either Nigeria or Ghana; juzi tu hapa.
Nawenda Nigerians, hata ukikutana nao nje ya nchini kwao, jamaa wanawavimbiaga hadi wenyeji, they don't fear anybody if they know they are right; halafu wao na Ghanaians ni watu wanapenda sana kusoma soma.
IMG_7610.jpeg

Rishi Sunak sio waziri wa kwanza wa fedha coloured, kabla yake alikuwa huyo jamaa hapo ‘Sajid Javid’ na labour ya Tony Blair ilikuwa na mawaziri weusi kama ‘David Łammy’ na ‘Diane Abbot’ kwa hivyo Kemi kuwa waziri sio maajabu na kushakuwa na wanasiasa popular wenye asili ya Nigeria kabla yake mfano ‘Chuka Umunna’.
 
Kwa utaratibu wa kumpata waziri mkuu wa uingereza ni likelly kuwa waziri mkuu kama ilivyotokea kwa rishi sunak mwenye asili ya india. Huyu dada ni mwafrika typically, si chotara
 
Kwani we umefika vitanda vimeisha au pole sana. Mimi in shaa Allah, Mwenyezi Mungu atajalia mpaa nakufa akili zangu ziko sawa.
Muhammed kupaa bila Rocket Booster na Space Suit?!😆
 
Kweni Muhammed alikuwa havuti pumzi.
Kwani Nabii Ibrahim alipotupwa kwenye moto alikuwa hana ngozi au na yeye hakuvuta pumzi? Hebu we kajiribu ukae ndani ya moto uone utavuta pumzi. Vipi Nabii Ibrahim hakungua, hebu tujibu mwenye akili za kenge.
 
Hizo ni Story tu, Muhammed alipasua Mwezi vipande viwili?!😆
 
Muhammed kupaa bila Rocket Booster na Space Suit?!😆
Kwa Mungu unaweza kukupaisha hata bila nguo akitaka si bora hata yeye kapaa na nguo. Vipi Yesu alipaa kwa Rocket Booster kumbe alikuwa kisha vaa space suit sio.
 
Kwa Mungu unaweza kukupaisha hata bila nguo akitaka si bora hata yeye kapaa na nguo. Vipi Yesu alipaa kwa Rocket Booster kumbe alikuwa kisha vaa space suit sio.
Acheni uongo mbona Allah ameshindwa kuwapa Ushindi na mnachakazwa?!

Science ndio mambo yote.
 
Back
Top Bottom