Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia.

====

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) akichukua nafasi ya Raymond Mwangwala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro.

1624369816251.png
 
Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia
Mkuu Punguza Haraka CCM Ndio imemteua mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) akichukua nafasi ya Raymond Mwangwala na Sio Kwamba Ameteuliwa na Uvccm Hao Uvccm Na Wao Pia Wameletewa Tu Huyo Unaemuita Msanii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni vile vile tu
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) akichukua nafasi ya Raymond Mwangwala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro.

1624369364206.png
 
Back
Top Bottom