Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM
Ajabu iko wapi Mbona ata Mbowe alipokuwa Mbunge bado alibaki kuwa mwenyekiti wa chadema, halafu akaongezewa cheo kingine kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani, kwahiyo ebu tulia
Kama ujui mambo tulia acha kudandia dandia mada,
 
UVCCM imelamba dume . Nakutakia heri ya mafanikio Kenani Laban Kihongosi
 
Kama ujui mambo tulia acha kudandia dandia mada,
Najua kuwa mbowe alikuwa mbunge kwa tiketi ya chadema kupitia jimbo la Hai, vile vile akabaki kuwa mwenyekiti wa chadema bado, halafu vile vile akawa Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, sasa njoo uniambie kipi sikijui?
 
Back
Top Bottom