Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM
Hiyo inaitwa panga pangua, Mama anapanga safu yake ya Mashambulizi
Atamaliza lini kupanga maana hauwezi panga na kupangua kila siku. Inatakiwa wanaopangwa wawe focused kwenye kazi kwa ajili ya watanzania. Mimi mawazo yangu ni kwamba kila anayeteuliwa ni kwa ajili ya wananchi.
 
yeye ni kupanda ndege kila siku dodoma dar ~dar dodoma nakupigiwa magoti na maair hostes
 
Herry kakalia kuti kavu nafasi ya udiisii

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale yuko mlango wa kutoka nje yule heri jemusi.

Muda si mrefu anatenguliwa.

Mama hawezi kumuacha mtu ambaye ikuwa jeuri enzi ya magufuli.

Mama sasa hivi anamjua mkorofi nani,mstaarabu nani kwa sababu hawa wote wishaonesha rangi zao enzi za magufuli.

Kwa hiyo mama hapati tabu kuwajua.

Anachofanya anakutoa ccm anakupeleka kwenye teuzi kisha anakutema.

Heri james your days are numbered
 
Atateua mpaka achanganyikiwe.

Mwishowe atajiteua mwenyewe kuwa mwenyekiti wa kampuni ya akina mama wa Beijing.
 
Vyeo vya ukuu wa wilaya ni upuuzi mtupu na upotevu wa pesa za wananchi bure, wako pale kwa maslahi ya siasa za watawala na kuiba kura ,hata wapinzani wakishika nchi wakuu wa wilaya watakuwa pale kulinda maslahi ya chama chao na wizi wa kura sio ya wilaya, huu upuuzi uishe pesa ziende kwenye maendeleo
 
Hajui atendalo ANADEMKA TU!
Sijui huwa analetewa tu majina halafu anatia saini yake tu halafu anaenda kucheza na wajukuu zake?

Halafu baadaye anaingia kwenye mitandao anasoma maoni ya watu halafu anarudi kutengua na kuteua tena?

Manake hii sasa imezidi! Siku ile majina ya maDC yametoka, nikajisemea moyoni ‘hmm haitochukua hata wiki atatengua na kuteua tena’!

Na hicho ndicho kilichotokea.

Pia, nitashangaa sana kama huyo Msando Albert ataendelea kuwa DC huko Morogoro!

Mtu kama huyu ni ushahidi tosha kuwa hawa wateule hawafanyiwi background checks.

Kama wanafanyiwa na huyu Msando aka pass, basi tumekwisha aisee!!!

The guy is morally compromised!

How can his appointment be defended?

 
Hii roho ya uteuzi sjui itaisha lini ,mm nmechoka kusikia habar za uteuzi,toka 2015 up to now kila siku teuzi,
 
Ngoja tutizame hii trend ya kuteua na kutengua ndani ya siku chache sababu yake ni nini hasa, hujuma ionekane mamlaka haina umakini au ni njama kuu kukwamisha utawala wa awamu ya sita ikose kuaminika ama mtenguliwa kupandishwa ngazi kimadaraka.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
02 February 2020

TAMKO LA UVCCM IRINGA KWA ZITO KABWE "ANGEINGIA IRINGA, BWANA YULE TUSINGEMUACHA ,HANA TOFAUTI NA MUUWAJI"


 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom