Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM
Taarifa kamili hii hapa
jaffarhaniu-___CQbn5R3HMMs___-.jpeg
 
Mama toka ameanza kuteua hajawahi kuteaua bila makosa ya kutengua

Kuna shida ndani ya idara ufatiliaji wa mambo ya uteuzi

Wakati anawateua wana UVCCM aliju kabisa nafasi lazima zijazwe

Kwani alikuwa hajui nani atajaza nafasi
Yani Mpaka anawateua Hao Wawili Hakujua Kama Atakuja Kuwapangia Majukumu Mengine Ndani ya Chama Na Huyo Dr. Charles Nae atapangiwa Majukumu Mengine... Huyo Quuen [emoji219] umakini wake unatishia .... Huyo Ni Tatizo
 
Mama toka ameanza kuteua hajawahi kuteaua bila makosa ya kutengua

Kuna shida ndani ya idara ufatiliaji wa mambo ya uteuzi

Wakati anawateua wana UVCCM aliju kabisa nafasi lazima zijazwe

Kwani alikuwa hajui nani atajaza nafasi
Kuna vihujuma vidogo vidogo vya hapa na pale lakini anavipangua,mambo yatakaa sawa tu.
 
Mama toka ameanza kuteua hajawahi kuteaua bila makosa ya kutengua

Kuna shida ndani ya idara ufatiliaji wa mambo ya uteuzi

Wakati anawateua wana UVCCM aliju kabisa nafasi lazima zijazwe

Kwani alikuwa hajui nani atajaza nafasi
Kazi ya Rais ni kuteua na kutengua kila apatapo habari mpya.....

Masaa 24 huweza kutokea lolote.....

#KaziIendelee
 
Ndio inaitwa ukurupukaji so mikataba mingapi imeshasiniwa kwa habari kuchelewa kumfikia
Wateule wako wengi mno....

Kwani VETTING haiwezi kubadilika "over the night"?!!!

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom