Kenya 2022 Kenya: Baraza la Habari laagiza uchunguzi wa kushambuliwa kwa wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu

Kenya 2022 Kenya: Baraza la Habari laagiza uchunguzi wa kushambuliwa kwa wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron

Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu wasiojulikana katika kituo cha biashara cha Kakrao, kufuatia kuchapishwa kwa Habari aliyoandika kumhusu Mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohamed, ambaye alionesha kutopendezwa na andiko hilo

Mkurugenzi mtendaji wa Baraza hilo, David Omwoyo, amesema kuna matukio zaidi ya 50 ya ukiukaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini humo yakiwemo, vitisho na kunyimwa taarifa ambayo ni tishio kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini humo

................................................

The Media Council of Kenya (MCK) has called upon the police to speedily investigate attacks on journalists as political temperatures increase ahead of the August 9 elections.

This comes a few days after Nation Media Group journalist Ian Byron was assaulted by unknown people on Sunday, July 10, at Kakrao shopping centre in Migori County.

In a statement released on July 12, CEO David Omwoyo said the attack comes a few days after the journalist reported being harassed by people following the publication of a story he had written relating to Suna East MP Junet Mohamed, who complained about it.


“We urge the police to investigate the Sunday incident reported at Migori Police Station under OB No. 28/10/7/2022 with a view to prosecuting the assailants,” Mr Omwoyo noted.

MCK noted with concern rising cases of assaults on journalists.

“The more than 50 (incidents) and press freedom violations in the form of profiling, denial of access, harassment and intimidation, both online and offline is a threat to media freedom,” Mr Owoyo said.

“The Council calls upon any party aggrieved by the work of journalists to direct the complaints to the Media Complaints Commission. The safety and security of journalists and media practitioners is a collective responsibility and goes beyond individual media houses and or editors as provided under the UN Action Plan on safety and Impunity Against Journalists.”

The MCK also called upon the media industry to have solidarity and support colleagues in distress.

Recent studies have also shown that journalists in Kenya are highly discredited, assaulted, harassed and even intimidated in their day-to-day work, with little done to protect them despite the progress made by the Kenyan media, especially in the digital space.

Source: NTV Kenya
 
Recent studies have also shown that journalists in Kenya are highly discredited, assaulted, harassed and even intimidated in their day-to-day work, with little done to protect them despite the progress made by the Kenyan media, especially in the digital space.

Source: NTV Kenya

Kenya Kuna uhuru wa vyombo vya habari?
Nicxie
Don YF
 
Kenya kuna uhuru wa vyombo vya habari, lakini wanahabari wenyewe ni 'guns for hire by the political class haswa serikalini. Wamejisahau sana kipindi hiki tunapokaribia uchaguzi. Yaani media house inampigia debe mgombea anaeungwa mkono na serikali (Raila Odinga) kwa hiyo wanampa coverage kubwa na wapinzani wake hawapati coverage yeyote, na ikiwepo ni asilimia ndogo sana na mara nyingi ni negative coverage. Kwa hiyo wanaposhambuliwa na hao wanasiasa, haswa wanaowapigia debe, ni matokeo ya kujisahau kwao. Mwanasiasa usifanye urafiki naye, maana Hana rafiki wala adui wa kudumu. Anaendeshwa na interests zake mwenyewe
 
Back
Top Bottom