Zitto hata watanzani tunahitaji mabadiliko,la msingi ni kuhakisha opposition mnaungana alafu muondoe ubinafsi kisha mtuletee mtu mwenye nguvu na ushawishi(ungekuwa 40 u could do) na tupige kampeni ya kufa mtu
Ndugu yangu, tatizo la Tanzania tunataka mambo yatokee hapo hapo,,, "
ukiuna vyaelea jua vimeundwa"
Nakuuliza Raila hajaanzia uchaguzi huu!!, fuatilia vizuri ndio utajua m unahitaji vision na determination ya hali ya juu ili kushinda uchaguzi na kuwa Rais, Of course na Network ya mpaka kwenye grassroot CHADEMA hainayo leo!!!
Mimi sina Tatizo na Zitto Kwamba ni maarufu,,, lakini hata ukimuuliza mwenyewe atakuwaambia hata kama Katiba ingemruhusu ingekuwa mapema kwake kugombea 2010....
Tuwe na Vision na Strategy za Kutosha wakuu!!!
Ndio maana mimi nadhani Upinzani Ukichukua 2010,,, nchi itaongozwa na Mafisadi maana hata upinzani wenyewe hautakua na muda wa kujua nani anafaa nani hafai badala yake watu watafanyiwa interview ya Dakika Tano, unakwaa uwaziri, ukuu wa mkoa etc!!!
Kuipa CHADEMA 2010,,, maana yake unawapa mwaka mmoja tu wakujiandaa 2009,,, kwani 2008 ni uchaguzi wao, 2010 ni kampeni za Uchaguzi 2010...
Watanzania tuwe makini,,, Tunahitaji kwa sasa 30-40% ya Wabunge wa Jamhuri....
Maoni tu!