Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 735
May I respond to some people collectively..
Hivi unakumbuka kilichotokea kwenye uchaguzi wa Marekani mwaka 2000 ambapo George Bush alitangazwa Mshindi? Unakumbuka yaliyotokea Florida ya "hanging chad" na wadogo zake. Unajua jinsi gani Supreme Court ya Florida ilivyojaribu "kisheria" kumpa ushindi Gore ambapo baadaye wakawa thwarted na US Supreme Court ambayo nayo ikimpa ushindi George Bush. Unakumbuka Jaji Mkuu Rehnquist baadaye alijuta kwa Mahakama yake kuchukua kesi hiyo?
Unajua ni kwa kiasi gani Democrats walijihisi kuwa wameibiwa uchaguzi na kuna baadhi hadi leo hawatambua ushindi wa Bush wa mwaka ule? Unajua kuna watu waliangusha machozi siku ile na wengine kushindwa hata kula kutokana na kitendo cha "injustice" walichofanyiwa (au kuhisi kufanyiwa).. ?
Je ulisikia wameanza kukata mapanga na kuchomeana nyumba, magari, n.k ? Inawezekana kwa sababu wao ni "wazungu" na "wamarekani" mambo ya kuchinjana hayawezi kutokea.. au labda wenzetu wana "moral superioriy" ambayo inawafanya kujizua kufanya mambo ya kinyama kama hayo kwa sababu za kisiasa. Unajua hata Marekani pamoja na Demokrasia yao yote hawawezi kuandamna kirahisi rahisi na ni upotoshaji mkubwa wa demokrasia kudai kuwa watu wakitaka kuandamana basi waandamane tu hata kama Polisi wanawakatilia.
Hakuna taifa duniani linaloweza kuruhusu hivyo. Hata hivyo, haki ya wananchi kuonesha manung'uniko yao dhidi ya serikali yao haiwezi kuondolewa na chombo chochote kile, kwani haki ya kutawala inatoka na kubakia na watu wenyewe. Kama Wakenya wanaamini kuwa Kibai siyo rahisi halali na ni rahisi wa "bandia" kama kijana mmoja wa Chuo Kikuu alivyomwita leo, basi wanayo haki ya kuandamana hadi Ikulu na kumfukuza! Hayo yalitokea Ukraine na Georgia! Hiyo ni haki ya wananchi wa Kenya.
Sasa, kuna baadhi ya watu wanataka tuamini japo kwa mbali kuwa masuala ya mauaji hayana hisia za ukabila na ni suala la upigaji kura na uhesabuji kura. Watu hawa wanataka tuamini kuwa machafuko ya kisiasa Kenya yametokea kwenye hali tupu (vacuum); kwamba hayana historia na hayana chanzo kingine. Watu hawa wanataka tufumbe macho na tusiangalie vikolombwezo vya ukabila ambavyo vimetokea kabla ya kupiga kura, siku ya kupiga kura na baadaye baada ya kupiga kura. Watu hawa hawawatendei haki watu wa Kenya.
Machafuko haya ya kisiasa hayakutokea hewani. Kama vile machafuko ya Rwanda miaka karibu 18 huko nyuma machafuko ya Kenya yanachanzo. HIsia ya ukabila nchini Kenya ni ya zamani kama historia ya nchi hiyo. Kuna makundi ya watu ambao wanaamini tena kwa viapo kuwa Wakikuyu ni kabila lililopendelea na kujipendelea mno tangu utawala wa Mzee Kenyatta na baadaye Moi. Watu hawa wanaamini kabisa kuwa Wakikuyu walipata nafasi nyingi na kulindwa kwa kiwango kikubwa na KANU na viongozi wa juu wa nchi hiyo na matokeo yake ni resentment toward the Kikuyu.
Kwa wale ambao tumewahi kuishi Kenya au kutembelea pale mgawanyiko huu wa hisia za kikabila umejikita sana kwenye jamii ya Kenya. Kuna mahali mtu huwezi kwenda na Mkikuyu kwa sababu atasema "ni kwa Mluo" na wakati mwingine huwezi kwenda na mwenyeji wako Mluo kwenye joint ya Wakikuyu kwa sababu ni "ya Wakikuyu". Wenyewe wa Kenya labda wamezoea hilo kama "hali halisi".
Hisia hizi za manung'uniko, kufanywa duni, na kwa namna fulani kujiona bora zaidi (upande wa wa Kikuyu) zimedumu kwa muda mrefu na zimekuwa zikitafuta mahali pa kutokea.
Uchaguzi huu uliopita ilikuwa ni nafasi muafaka ya mgawanyo huu kuchorwa ardhini moja kwa moja au kuvunjwa moja kwa moja. Kibaki na wale waliomuunga mkono waliendelea kuonesha hisia ya "ubora wa Wakikuyu". Ingawa maneno mengi yametolewa kama maneno ya kisiasa lakini kauli zao kampeni zilikuwa zimejaa sentiments hizi sana. Raila na upande wake walikuwa wanajiandaa kuvunja dominance ya Wakikuyu katika serikali ya Kenya kwa kutumia sanduku la Kura.
Wakati ameenda kupiga kura Raila alishindwa kutokana na matatizo fulani ya kiutendaji. Kwa haraka akaenda kwenye vyombo vya habari na kudai "ukabila"! kuwa kuna jaribio la kuwafanya watu wa makabila fulani wasipige kura. Baada ya kura kupigwa na matokeo kuanza kucheleweshwa hisia za kuchezea kura zilianza kila pande ikihisi mwenzie anafanya mchezo mchafu.
Kosa kubwa ni kitendo cha Tume ya Uchaguzi ya Kenya kuendelea na kutangaza matokeo wakati wakiona taratibu zinakiukwa. Na kosa kubwa ambalo limeonesha udhaifu mkubwa wa Kivuitu ni kumtangaza Kibaki Rais na hivyo kuharakisha kuapishwa kwake. Kitendo hicho hakikusaidia fukuto la hasira ambalo lilikuwa limeanza kuingia nchini Kenya.
Kitendo cha Jeshi, Mahakama na Polisi kumtambua mara moja Rais Kibaki (kwa ushahidi wa uwepo wao kwenye kuapishwa) kilikuwa ni kile ambacho kinaitwa "ufito wa mwisho uliovunja mgongo wa ngamia". Watu wa Kenya hasa vijana waliona kuwa "wameibiwa" haki yao. Na hapa ndipo makosa ya Raila yalipojitokeza.
Raila alikuwa anajua passion ya watu kwenye uchaguzi huu. Uamuzi wake wa mwanzo wa kusema na yeye ataanda "kutawazwa" kwa "Rais wa Watu" ilikuwa ni kumwagilia mafuta kwenye moto wa hasira. Watu wenye sababu zao wakaona kuwa Raila lazime apewe Urais wake. Kina nani basi walimpigia kura Kibaki? BIla ya shaka Wakikuyu wenzake wengi na wale ambao bila ya shaka walinufaika na utawala wa Kibaki.
Ndipo mauaji yakaanza. Kilele cha mauaji haya ni kitendo cha kihalifu kwenye Kanisa la Pentekoste kule Eldoret ambapo watu zaidi ya 30 wa kabila la Kikuyu waliojaribu kuokoa maisha yao walipojikuta wanatiwa "kiberiti" kwa sababu ambazo wahalifu hao wanazijua. Tuliobahatika kuangalia TV unaweza kukumbuka jinsi kijana mmoja wa Kikikuyu alivyocharangwa mapanga hadi kifo akitembea mtaani kule Kibera. Matokeo yake ni kuanza kuona watu wakitembea na mabango yakitangaza "No Raila no Peace".
Raila, hakukemea hayo yote na hakujitokeza kuyakana na kutoyahusisha na kampeni yake. Jibu lake standard lilikuwa "wananchi wanatekeleza haki yao ya kidemokrasia ya maandamano ya amani". He ignored the plight of the Kikuyu people and other people who were caught in the crossfire of mapangas! He justified that by saying "the security forces are assassinating" hawa wananchi wanaotaka haki yao. Kwa maneno mengine, kama polisi wanaua wananchi kwanini na sisi tuzuie wananchi kuuawa.
Raila didnot step up to the plate and lead the nation to calm but by his mediocre actions he fanned the flame of anger and hatred.
Kuna watu wanataka tuamini kuwa Raila hakuwa na uwezo wa kutuliza passion ya watu wake. Kama vile Kibaki anavyowajibika na kitendo cha uharibu na wizi mkubwa wa kura ambao umesababisha mamia ya watu kuuawa na Raila naye anahusika moja kwa moja kwa ukimya wake katika mateso yaliyowapata watu wa Kenya. For this he is as culpable as anyone and from where I stand, he failed his nation, he failed his people.
As people demand that President Kibaki resign (and rightly so), Raila should not be given a blank check. It'll be another tragedy if the people of Kenya would overlook the actions of Raila and reward him with the presidency. He do not deserve it.
Hapa ndipo suala la maandamano ya Tanzania linapokuja. Wapinzani wa Tanzania walitaka kujitokeza kumuunga mkono Raila regardless of his actions and his inactions during this crisis. It was a wrong move and inappropriate at the time.
Kwangu mimi mauaji ya watu zaidi ya 300 yameniuma zaidi kuliko malumbano ya watu hawa wawili. The 300 or so Kenyans who died during this upheaval died unnecessarily. These were not heroes; The did not die in the quest for freedom or justice! They died because some political bigwigs in Kenya wanted to take advantage of the situation. Raila could show that Kibaki's government is responsible while Kibaki and his team could point to the situation and cry "ethnic cleansing and genocide".
Vifo vya watu hawa 300 huko Kenya still remains as the saddest part of this whole story. They did not have to die. Those children in Eldoret who thought that running ilikuwa ni kitu cha kuokoa maisha yao hakuna anayeweza kuwatabiria "ushahidi"!
Hofu yangu ya Tanzania hasa wapinzani wa Tanzania kuchukua uamuzi wa haraka wa kumtetea Raila ni kupandikiza mbegu za chuki zaidi. Leo hii kikundi cha "Mungiki" kikiwa kimejificha mahali na kuanza kupanga revenge.. Afrika ya Mashariki tujiandae. Nakumbuka vizuri Interahamwe walipanga mauaji ya kimbari kule Rwanda na jinsi walivyoamka usiku mmoja na kufanya "chinja chinja". Leo hii Mungiki wameshasambaza vikaratasi kutishia maisha ya Waluo..! Are we really ready for this?
Binafsi naamini kabisa kuwa wapinzania wangeweza kuandamana kama vile vijana wa vyuo vyetu vikuu walivyopanga kuandamana tarehe 12 (sijui kama wanajua ni siku ya Mapinduzi hiyo au wamesahau). Wao wanataka kuandamana kupinga uvunjaji wa haki za binadamu na umwagaji damu usio na sababu uliotokea Kenya. Wapinzani wangeaandaa maandamano kuishia Jangwani ambapo wangekemea uvunjwaji haki, kuikemea tume ya uchaguzi na kuwapigia kelele Kibaki na Raila na kuwataka wakae chini na kutafuta muafaka utakaowafaa watu wa Kenya.
Hata hivyo hilo lingekuwa gumu, kwani kwao Raila ni shujaa! Lakini ana ushujaa gani Raila kwenye hili? Wakati akitangaza maandamano amekuwa kama mtani wetu Seif ambaye wenzie wanaandamana yeye amejificha pembeni! Kama Raila kweli anataka kuandamana aache kuita watu wengine au yeye na viongozi wengine wawe mstari wa mbele kama walivyofanya mapema leo kina Balala kule Mombasa.
Kama Raila anataka kuonesha mfano wa kuandamana yeye awe wa kwanza kumwagiwa maji na kupigwa mabomu ya machozi, na asirudi nyuma! Asonge mbele kuelekea Uhuru Park. Kama Raila anataka kuonesha mfano asiwachombeze vijana wa Kenya ambao wanamhusudu waende na kupatwa kibano cha Polisi wakati yeye anakimbilia kwenye vyombo vya habari kuahirisha maandamano hadi "siku nyingine". Atajipatia umaarufu mkubwa na huruma kutoka kwa watu kama watamuona Raila kama Mrema kule Tanga anapigwa mabomu na kumwagiwa maji na vikosi vya Polisi akidai haki yake!
For me, siyo Raila wala Kibaki wanaostahili kukalia kiti cha Ikulu ya Kenya kwani wote wana damu mikononi mwao! Damu ambayo inalia na kuita Kenya, iponywe!
For one, wapinzani have to do away with the law or regulation that prevents them from forming coalitions for the purpose of winning elections. They need to look at all the impending laws working against their interests, and get rid of those through constitutional reform.
Unfortunately, time is running out pretty fast for 2010.
Kitila and Company, please do the needful first; you will succeed eventually.
Mzalendohalisi,1. Wasi2 wangu tu kama kama anavyosema MADELA WA MADILU- nasi tusije kuwa mafisadi endapo upinzani utachukua dola- mifano hii ipo Zambia, Malawi na hata Kenya- ufisadi uliongezeka baada ya upinzani kuchukua dola!
Back to the violence. Every chap of average intelligence is well aware that the burning of churches in Eldoret will have to be avenged. The killing of Kikuyu folk countrywide will have to be avenged. Let us keep it real folks. Mungiki folk have been sharpening their pangas since the eve of Dec 27th, 2007. Yes my friends, these jamaas are fast regrouping and this time with the support of every Kikuyu who saw pictures of heavily protected Kikuyu-folk-laden convoys enroute from RV to Central. We will never be too sure but we have an idea of what the humanitarian govt. forces deployed in opposition areas are all about. Looking for answers in the bullet riddled bodies in Kisumu morgues is of no consequence. Yes my friends, ukweli ni mbaya. We are all victims.
So what next? Mungiki will soon strike and more tears will flow. The govt. will then follow-up and use all its military might to purge any signs of anti-govt. rebellion. After a couple of weeks of running battles, the Kenyan people will get tired and slowly revert to their normal day to day activities. They will give up to the powers that be at which point, Kazi Itaendelea. Yes folks, let us not imagine that Kibaki will step down or budge from the seat of power. The reality is that Kenyans must pay rent and put food on the table. We actually will have no choice but to retreat to our obscure shelters as we watch Kimunya, TransCentury and other assorted Kibaki lieutenants share out Safaricom among other delicacies. Yes folks, with one policeman on every street for months, an uneasy peace will return to Kenya. What about the anti-Kikuyu sentiments? What of those who say that Kibaki's action has legitimized every fallacy they've heard of Kikuyu's before? Yes we will walk the streets again, but what will happen when lets say a Luo man driving in the deep of Nyeri accidentally knocks down and kills an old Kikuyu woman crossing the street? Do you now see the type of scars a stolen election has etched onto the Kenyan psyche? Will we ever be brothers and sisters again under a tattered flag that does not recognize the value of our votes? These wounds will remain with us for years after these jamaas have retired to their Muthaiga homes. These wounds will follow us to every ballot box going forward. These wounds will determine the city we choose to work in, the schools we send our children to and the areas we choose to open up businesses. These wounds will make us turn a blind eye to the evils committed against our brothers from other communities. With these wounds, the jokes of Bwana Ojwang and Mama Kayai will loose meaning. With these wounds, some sheng words such as Musakhulu, Musapere and Mujaka will no longer be politically correct. The reality is that some of us are very happy with the turn of events. Some of us are mad as hell. All of us will remain insecure for years. Ask yourself why, the next time you board matatu number 16A to Kayole.
We will return to our work stations throughout the country and use the next five years trying to relocate to work areas close to our native homes. Only an insane Luo man will take up that promotion in Muranga town. This is serious trouble my friends. You see, the thing is that as a country, we have lost innocence. We can never talk of Rwanda with a chip on our shoulders. In all, the theft at KICC has made us grown men. Never again will we be able to propagate the notion that Kenya is a peace loving country. We are as fallible and as volatile as all other African countries. Kenya, as a bastion of democratic ideals, has been buried by the actions of Mwai Kibaki. This is the only man who could have ordered the PNU machinery to stop and desist from topping up the vote results from his strongholds. This is the man who may have chosen to resign after seeing the questions raised by the ECK chairman and some commissioners, observers etc. Any prudent man of singular leadership qualities and intelligence would have averted the crisis at KICC by doing the right thing......i.e. let the people decide.
But more importantly, when the election news is old news, what will Kenyans do to ensure peace in future? This is what I suggest. First and foremost, the fallacy that Kikuyus are bent on dominating other Kenyans must be dismantled. Let us choose to really get to know our neighbors. More often than not, you will find out that the struggles faced by most Kikuyus are similar to those faced by all Kenyans. They are just as poor and led by a coterie of the same bunch of inept leaders that the rest of the country displays. Whereas it is unlikely that you will find other communities doing business or settling in Central Kenya, the prevalence of Kikuyus in other areas may well be a simple result of population growth. If we have ever needed each other, this is the time. This is the time for national healing and reconciliation. Do not expect solutions from political leadership. Let us join multicultural churches. Let us demand that our workplaces reflect the face of the country. Let us choose peace.
In my own opinion Kenyans have their Mandela/Nyerere in the name of Raila Odinga
Mtanzania.. bado sijaelewa how can Kenyan leaders justify the killing of 300 people kwa kusema ati matatizo ya Africa na matatizo ya Magharibi ni tofauti... Tunaiga magharibi mambo mengi kweli hadi lafudhi.. sasa kwanini hatuigi jinsi wanavyotatua matatizo!!?