1. Bunge la 10 la Kenya litaapishwa tarehe 15 Januari, 2008 yaan Jumanne wiki ijayo.
2. Rais Kufuor aingia Nairobi kesho kuanza mediation talks.
3. Kibaki ajaribu kumualika Raila ikulu waonngee ana kwa ana. Raila amekataa akisema kwamba hii ni njama ya kujaribu kuinfluence jamii ya kimataifa na wasuluhishi kama kina AU. Amesema atakutana na PNU only wakati wapatanishi watakapofika nakuanza kazi yao.
4. Law Society of Kenya (LSK) imesoma ripoti za ECK na imesemea kulingana na sheria za Kenya:
a) Wamemfuta Kivuitu toka kwenye Roll of Honors or rejista ya mawakili na wanasheria
b) Kibaki is in State-House illegaly and he is technically not the President of Kenya for being sworn in illegally
c) AG and Cj waliomuapisha Kibaki wajiuzulu na washtakiwe mbele ya mahakama. Mkuu wa polisi vile vile.
d) ECK na mkuu wao Kivuitu wafutiliwe mbali mara moja na kufunguliwa mashtaka.
d). Uchaguzi mwengine ufanywe mara moja lakini uwe tu wa Urais kwajili ule wa Ubunge hauna utata.
e). Jendayi Fraser, naibu wa Condoleeza Rice asema kwamba Kibaki na Raila wote wako ready kwa talks lakini wana masharti makubwa kila mmoja.
f) British Foreign Secretary awaambia House of Commons/Parliament kwamba power-sharing eti ndio the only way forward.
g) Alisema all the allegations of fraud in the elections should be investigated and the criminals brought to justice.
h) Kufikia sasa watu 486 wamefariki, 250,000 wameachwa bila makao.
i) Kenyans abroad esp in US, Germany and UK wafanya maandamano wakiitisha kujiuzulu kwa Mr Mwai Kibaki mara moja.
j) Kibaki aingia woga marais wa Afrika wanamsusa na atuma Uhuru kwa JK kujaribu kuomba sapot. JK akataa. Tunashukuru kwa hilo. Mungu ibarike Tanzania.
k). The only peaceful solution is for Mr. Kibaki to resign immediately. (Nafahamu kuna walouliza maswali kuhusu hili. Ntarejea na hili kwa post nyingine baada ya kupata cha jioni.)
Absolute! ODM just keep on tightening the screw! yes, he must go.