Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mwanakijiji,
masaa matatu yaliyopita kulikuwa na srory AP ambayo imemnukuu mtoto mmoja wa kiluo (miaka 8) aliyeko hospitali kwa majeraha ya risasi akieleza namna polisi walivyoingia ndani ya nyumba yao huko kisumu na kuanza kumimina risasi all over the house bila kujali nani yuko.
Matokeo yake yeye akajeruhiwa vibaya huku wenzake wakiuwawa kinyama. Kumbuka kuwa Michuki na Kibaki wametoa amri ya shoot to kill. Mtoto yule ameendelea kusema kuwa polisi hao walivyogundua kuwa wazazi wa mtoto hawakuwa ndani waliondoka wakiapa kuwa wangerudi baadaye kumalizia kazi.
Kama ulisikiliza bbc mchana huu walimhoji bwana mmoja ambaye alivamiwa na polisi akiwa amelala dukani kwake ambako polisi walimtoa nje, wakampiga sana, wakapora vitu, kisha wakachoma duka lake moto bila kujali kuwa ndani ya duka watoto wawili wa huyo bwana walikuwa ndani wamelala.
Nadhani utasema kuwa hawa wote wametumwa na Raila kufanya haya.
Kinachoendelea Kenya sasa hivi ni zaidi ya Raila. Kibaki ndiye kayaanzisha kwa kuiba kura na kisha kuamuru polisi kupiga risasi waandamanaji akiamini kuwa watafight back na kisha the whole world ya critical thinkers kama wewe watamlaumu Raila for the violence.
Kitu ambacho Kibaki alikosea kwenye calculation yake ni Mkoa wa Rift Valley. Kibaki alitegemea fujo zote zitatokea Kisumu na Nyanza ili Raila aonekane saiko. Alisahau kuwa Kalenjin wa Rift valley ndio walikuwa na uchuhgu zaidi na kikuyu kuliko hata Luo na kanisa lilipochomwa eldoret, ndipo wafuasi wa Kibaki wakajua kuwa wamekosea hesabu big time na sasa anahangaika kurudisha uhusiano wake na kalenjin (hawa ni neighbors) na population kubwa ya wakikuyu waliokuwa displaced ni walioko Rift Valley.
Kibaki anahusika moja kwa moja na yaliyotokea kenya na inabidi asipewe hata chembe ya break ili madikiteta wote afrika wapate fundisho.
Jamani, someni nilichosema usiweke maneno mdomoni mwangu. Labda nitakusaidia.
a. Hakuna sababu ya msingi ya kwanini Wakenya 600 wameuawa. Nyet! Hawakuuawa sababu ya "kupigani demokrasia" au "kupigania uhuru". Vifo vyao haviwezi kulinganishwa na wapigania Uhuru wa Afrika! Period.
b. Sijasema Kibaki ni mtu mzuri na ya kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wahaki. Kulikuwa na matatizo makubwa ya uchaguzi hasa katika kuhesabu na kutangaza matokeo. Tume ya Uchaguzi ikitambua matatizo yaliyotokea ilifanya makosa makubwa na bila ya shaka uhalifu kutangaza matokeo na kula njama ya kufanya hivyo ili Kibaki atangazwe Rais mara moja. Hilo halina ubishi na ninaungana na wale wote wanaotaka Kibaki ajiuzulu ili kupisha mchakato mpya wa kumpata Rais wa Kenya. Huo ndio msimamo wangu tangu mwanzo lakini kwa makusudi unaukwepa na kuniwekea maneno mdomoni.
c. Tatizo mimi siishi kwenye "b" kama baadhi ya watu humu ambao hawataki kuangalia kitu chochote kitakachomuonesha RAila kwenye mwanga mbaya na kumfanya ni accomplice of bloodshed! Ni Leo Raila ndio ametokea na "kulaani" mauaji yanayoendelea.. Why today? Why not the first day? why not when the 30 people were burnt alive in Eldoret? why today?
d. Of course Raila anapewa "pass" kwa sababu "Police na wenyewe wameua au wanafanya mauaji" as if two wrongs make it right! If you get over your support for Raila you'll see that Raila by his omission helped the fanning of tribal hatred in Kenya that has resulted into over 600 people dying! I'm trying to help you see that but if you can't I'm sorry I can't do it better. Time will tell and will vindicate my position.
It is for this that I do not believe that Raila qualifies for the Presidency of Kenya vile vile kama Kibaki asivyostahili. Hawa wawili hawawezi kuleta amani Kenya. Mark my words. Kama Raila atapata Urais wa Kenya there will be more bloodshed that we have witnessed. Whoever think that if Raila become a president then damu itakoma.. is being politically naive.. just think and you'll see this..