Kenya Election 2007: Outcomes


Jamani, someni nilichosema usiweke maneno mdomoni mwangu. Labda nitakusaidia.

a. Hakuna sababu ya msingi ya kwanini Wakenya 600 wameuawa. Nyet! Hawakuuawa sababu ya "kupigani demokrasia" au "kupigania uhuru". Vifo vyao haviwezi kulinganishwa na wapigania Uhuru wa Afrika! Period.

b. Sijasema Kibaki ni mtu mzuri na ya kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wahaki. Kulikuwa na matatizo makubwa ya uchaguzi hasa katika kuhesabu na kutangaza matokeo. Tume ya Uchaguzi ikitambua matatizo yaliyotokea ilifanya makosa makubwa na bila ya shaka uhalifu kutangaza matokeo na kula njama ya kufanya hivyo ili Kibaki atangazwe Rais mara moja. Hilo halina ubishi na ninaungana na wale wote wanaotaka Kibaki ajiuzulu ili kupisha mchakato mpya wa kumpata Rais wa Kenya. Huo ndio msimamo wangu tangu mwanzo lakini kwa makusudi unaukwepa na kuniwekea maneno mdomoni.

c. Tatizo mimi siishi kwenye "b" kama baadhi ya watu humu ambao hawataki kuangalia kitu chochote kitakachomuonesha RAila kwenye mwanga mbaya na kumfanya ni accomplice of bloodshed! Ni Leo Raila ndio ametokea na "kulaani" mauaji yanayoendelea.. Why today? Why not the first day? why not when the 30 people were burnt alive in Eldoret? why today?

d. Of course Raila anapewa "pass" kwa sababu "Police na wenyewe wameua au wanafanya mauaji" as if two wrongs make it right! If you get over your support for Raila you'll see that Raila by his omission helped the fanning of tribal hatred in Kenya that has resulted into over 600 people dying! I'm trying to help you see that but if you can't I'm sorry I can't do it better. Time will tell and will vindicate my position.

It is for this that I do not believe that Raila qualifies for the Presidency of Kenya vile vile kama Kibaki asivyostahili. Hawa wawili hawawezi kuleta amani Kenya. Mark my words. Kama Raila atapata Urais wa Kenya there will be more bloodshed that we have witnessed. Whoever think that if Raila become a president then damu itakoma.. is being politically naive.. just think and you'll see this..
 
wote kwa hakika kuna sehemu wamekosea, ni binaadamu hawa.

it takes 2 to tangle it.


wakati umefika tuwaombee dua wapatane na roho wakenya zirudi(japo ngumu kufanyika kwa muda mfupi). washirikiane vyema kuendesha uchaguzi mwengine ulio huru na wakubaliane ataeshinda wakenya wote wamkubali na kushirikiana nae na kusahau yaliopita.


mkjj umefahamika ww unaona wote wamekosea na hilo ni kweli.

lkn mara nyingi watu humuangalia mwenye nguvu tu akikosea ndio huwa kosa kubwa na ni kweli maana mkubwa ana nguvu ya kupunguza maafa.

hata hivyo huu si wakati mzuri wa kumtafuta kajamba nani, harufu imeshaenea chumbani sasa tupulize air freshner au tutie perfume tuondoe hii harufu.


mkjj tumia makala yako kuandika watu wapendane na wakubali kusahau.

ielimishe jamii umuhimu wa amani na upendo na raha ya kusahau.


shetani alikutabiria mwaka huu utafungua kanisa fungua kanisa la kuunganisha watu pasipo kuwagawanya.


nntegemea kaka yangu mkjj utazipokea nasaha zangu
 
mtu wa pwani.. umesema vyema.. na hilo tunakubaliana Kibaki anawajibu mkubwa na timu yake wanawajibika zaidi kwa machafuko kwani wasingefanya yale ya kuharibu kura na kujitangaza Urais mapema na kuapishwa mambo mengine labda yangeepukika. Hilo halina ubishi ila kuna watu hawataki kuangalia makosa ya kiongozi ya Raila ambayo kama angesimama kidete angechangia kupunguza mauaji haya ya kikabila.. Imemchukua zaidi ya wiki moja kulaani mauaji!..
 
Betty writes:


Daniel Kamau wrote:


Brown Onyango writes:


Eva Wanjiru writes:

"The greatness of what God can do in our lives is determined by the depth of our relationship with him"

"without faith its impossible to please God"

Midamba writes:
 
Bell writes:


Robert writes:


Alemba writes:


Serah writes:

Monica writes:

Robert responds:

Kenyans

I dont care what Kibaki supporters think of me. I have a very thick skin and able to handle all the insults. The fact is Kibaki is a killer and must be elimiated.

Paul responds too:

Patra writes:

Jones writes:
 
Mwanakijiji,

Je, katika analysis yako ulikumbuka ku-analyse aina ya watu waliokuwa wana riot? Kwa mfano pale Nairobi rioters wengi walikuwa wanatokea Kibera na Mathare. Hilo pekee inabidi likuumize kichwa, how do you handle such people? Ukiangalia majority ya hao watu ni watu waliokata tamaa ya maisha, kwa maneno mengine hata akifa ni sawa tu maana masumbuko anayoyapata hapa duniani ni makubwa zaidi, na matumaini yake makubwa yalikuwa kwenye mabadiliko ya Rais. It pains so much unaposoma kwenye news kwamba waziri fulani au katibu mkuu wa wizara fulani katafuna mabilioni ya shilingi wakati wewe hujui hata mlo wako wa siku hiyo utaupataje? Hilo pekee linachochea machafuko zaidi na hasa wanapogundua kwamba waliopewa ushindi ni hao hao ambao watarudi kuendelea kujineemesha wakati wao (walalahoi) wakiendelea kusota bila ya matumaini. Ni kazi ngumu sana kuwatuliza watu waliokata tamaa au waliochoshwa na utawala fulani and they are ready for anything!

Kuna siku Prof. Lipumba na Maalim Seif walifungiwa ndani kisa muafaka wa Zenji. Iliwachukua muda mwingi sana kuwa-calm down wana CUF waliokuwa na hasira huku wakitishia kutembeza bakora na ama wakiwataka Maalim na Prof. Lipumba waachie ngazi huku wakituhumiwa kwamba wamepewa kitu kidogo na CCM. Hilo lilikuwa ni kundi la watu ambao hawazidi 200. Je, una deal vipi na kundi la watu milioni 1 au zaidi ambao wamekata tamaa na wako scattered (from Nyanza, Western, Rift Valley, mpaka Coast)?

Kumbuka vyombo vya habari vyote vilipigwa marufuku kurusha matangazo moja kwa moja (LIVE) mara baada ya Kibaki kuapishwa, si radio wala TV. Raila angetumia njia gani kuwasilisha ujumbe wake kwa hao watu waliokuwa wana riot? Mauaji tunayoambiwa ni ya mijini tu, lakini mpaka vijijini watu wamekufa na ndiyo maana polisi wanasema idadi ni 600+ na siyo 486 ambayo inatolewa na serikali.

The only way ilikuwa ni kuwa-dispatch ma-luteni wake warudi kutuliza watu waliokuwa wakifanya fujo. Lakini je watawafikia mpaka wa kijijini? Wakati huo huo hao ma-luteni wake wanatakiwa wawe Nairobi ili kupanga strategy kwamba what is the next move baada ya hapa?

Raila alibaki na vyombo vya habari vya nje ambavyo haviwafikii wengi, lakini local media ilifunikwa ili serikali i-supress zaidi demokrasia. Ningemlaumu Raila kama alitumia radio kuhamasisha watu wa-riot. Lakini hakuwa na radio wala TV ya kusaidia kufikisha ujumbe kwa wana ODM wake.
 
Mambo Ndio Yameshapoa Hivi, The Hopes Are Deteriorating, Jamaa Ana Fungua Bunge Next Week. Du Ufisadi Unazidi Kudumu Daima Africa.

Kweli James Watson Alisema Kweli Hakukosea.
 
Ni rahisi sana kulaumu kuliko kukubali kulaumiwa, hili tunaliona hata hapa JF. Watu hawataki kabisa kukubali kubeba lawama kwa yake wanayoyasema hata pale wanapogundua walikosea.
 
Ni rahisi sana kulaumu kuliko kukubali kulaumiwa, hili tunaliona hata hapa JF. Watu hawataki kabisa kukubali kubeba lawama kwa yake wanayoyasema hata pale wanapogundua walikosea.

Ukimuonesha mtu makosa ya alichosema na huyo mtu asipoona makosa hayo basi mtu huyo hawezi kuwa mwanafunzi mzuri kwani ana kuwa na ubishi usio wa lazima. Hata hivyo kama mtu umeshindwa kuonesha makosa kwa kilichosemwa kwa vile hakuna makosa ndani ya kilichosemwa basi mtu hana cha kusahihisha. Kutoangalia makosa ya watu wengine kwa vile yawezekana kilichosemwa na mtu kina makosa hakuondoi hoja ya matendo ya watu.
 

Kuna wengine wanayaona makosa yao lakini wanakuwa wagumu kuyakiri hadharani lakini ndani ya mioyo yao wanajua wamechemsha. Wanadhani labda kukiri makosa hadharani na kwa uwazi ni ishara au dalili ya udhaifu. Hii ni hulka ya binadamu mifano yake iko mongi tu.
 
Ni rahisi sana kulaumu kuliko kukubali kulaumiwa, hili tunaliona hata hapa JF. Watu hawataki kabisa kukubali kubeba lawama kwa yake wanayoyasema hata pale wanapogundua walikosea.

Kwi kwi kwi!!! No comment on this one!
 

kweli kabisa wapo watu wa namna hiyo ambao hawaoni makosa yao na wanaendelea kuonesha makosa ya watu wengine!
 
Kibaki kaunda baraza la mawaziri. Kateua mawaziri 17. Mbona huyu jamaa kichwa maji hivyo?
 

Mkjj:
Ninapendekeza, uiweke hii statement yako kwenye kumbukumbu. Siku moja ukiisoma tena itakukumbusha mengi; na pengine hutaamini kuwa uliiandika wewe.
 
Kibaki kaunda baraza la mawaziri. Kateua mawaziri 17. Mbona huyu jamaa kichwa maji hivyo?

Mtanzania:
Kama hivyo ndivyo, basi nadhani huyo mzee haitakii mema nchi yake. Na pengine ndio anazidi kurahisisha utawala wake kumalizika haraka.
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo....haya yaliyotokea Kenya nawaambia yatatokea tena ktk nchi ingine ya Kiafrika na haitakuwa mwisho wa mambo kama hayo kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…