mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mungu mbariki Lema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Kambona alikuwa mkimbizi!! Naona hata kusoma historia ya nchi yao ni utopolo tupu!Kwa hiyo Tanzania chini ya utawala wa Magufuli imeingia rasmi katika nchi zinazozalisha wakimbizi. Hongereni sana CCM, mko kwenye right track!
Kambona je?Daah hii ni aibu sana kwa serikali ya awamu ya tano, Tz leo inazalisha wakimbizi wa kisiasa, daah tumefika uku
Movie ni za kwenu nchi inapaa 2025 uchumi wa kati wa juu, mtatapika nyongo ya wivu.Zitto kasema hatasepa bado yupo sanaNaona giza nene mbele. Anyway kila mmoja akitambua kwamba ahadi za CCM ni movie tu na yule bwana anataka kujiongezea muda wa kukaa madarakani ndo tutaanza kuelewana.
Kenya hatakagi ujinga kama wenu, alishamfukuza Miguna Miguna so wajinga na wasaliti wajiondoe tubaki wafia nchiMakasiriko ya jitu juu ya Kenya na Kenyatta yatazidi maradufu! Wakati ule alichoma vifaranga sijui atachoma nini safari hii.
Mungu akulinde Lema pamoja na familia yako.
haya yasikie tu kwa mwenzio. mimi na wewe hatujui anajua yeye, Mungu wake na wanaomtishia. tusihukumu. Fikiria pia,wakati Lema "anajifanya" kutaka kuuliwa kuna makumi wameshakufa Zanzibar. huko Tarime kuna makumi wanauguza majeraha makubwa.Hii tactic ya kujifanya wanataka kuuliwa badala ya kubaki na kukuza chama chao ni usaliti kwa wafuasi wao.
Mngetamka tu kwamba kila kitu kitakuwa shwari nadhani ingetosha pia.....bila hivyo wataogopa tu.Hii tactic ya kujifanya wanataka kuuliwa badala ya kubaki na kukuza chama chao ni usaliti kwa wafuasi wao.
Kwanza alitaka wamchangie watu wakagoma...akaona hela hakuna bora akimbie akale bure..siasa za kishoga banaMwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana.
=======
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na Mamlaka za huko aameachiwa na Polisi katika Kituo cha Kajiado na kupewa hifadhi nchini humo.
Hifadhi ya Lema inakuja wakati Mbunge mwingine wa zamani na Waziri wa Utalii, Lazaro Nyalandu kuzuiliwa na Mamlaka za Tanzania wakati anaelekea Kenya
Pia, soma Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria
Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...www.jamiiforums.com
anajipendekeza kenya anajua ni wajinga kama wao kina mdee wajinga wajinga???Nimeona Amnesty international waliikoromea Kenya waache Ufala kuingilia ishu za mtu wakati anatafuta hifadhi mana ni haki yake.
Baada ya kutafakari, wameona huu ni ujinga wa kushinikzwa na jirani tu.
Mjinga mmoja ni wew abaye umeshikiwa akiri na hao wasanii na majambazi wa usaliti, ikiwezekana hata weqe ungewafuata nyuma tu msaidiane kujificha.Unawaza tumbo tu.
Ni vigumu sana taifa letu kupata maendeleo yanayohitajika kwa wakati, hasa tukiwa na wajinga wengi sampuli yako.
Safi sana Kenya. Mnajitambua. Mna akili sana majirani. Lema angerudi kwa mhutu ni shaba tu.Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana.
=======
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na Mamlaka za huko aameachiwa na Polisi katika Kituo cha Kajiado na kupewa hifadhi nchini humo.
Hifadhi ya Lema inakuja wakati Mbunge mwingine wa zamani na Waziri wa Utalii, Lazaro Nyalandu kuzuiliwa na Mamlaka za Tanzania wakati anaelekea Kenya
Pia, soma Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria
Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...www.jamiiforums.com
Jiulize kwann wanakufa?? Tuanzie hapo??haya yasikie tu kwa mwenzio. mimi na wewe hatujui anajua yeye, Mungu wake na wanaomtishia. tusihukumu. Fikiria pia,wakati Lema "anajifanya" kutaka kuuliwa kuna makumi wameshakufa Zanzibar. huko Tarime kuna makumi wanauguza majeraha makubwa.
Inawezekana alipokuwa kisongo tayari walifumua malinda.Kwanza alitaka wamchangie watu wakagoma...akaona hela hakuna bora akimbie akale bure..siasa za kishoga bana
jiulize nani anawaua?! tuanzie hapoJiulize kwann wanakufa?? Tuanzie hapo??
Hahahaaa kweli kabisa maana mpaka unashangaa hawa jamaa wana nn lakini?? Hivi huyo tobo lisu aliamini anaweza kua Rais?? Au ni kujitekenya huku anacheka?? Yule makengeza mwingine aliamini saccos yake inaweza toa Rais?? Bora tu waondoke wakaolewe huko tutulie sisi tupige kaziInawezekana alipokuwa kisongo tayari walifumua malinda.
Baada ya kushindwa na sera yao ya kishoga wameamua kuufata ulipo.
Ni sifa ya kiume kudaiwa. Sasa we huaminiwi hata kukopeshwa chumvi ndogo ya mia mbili...Ndungai aliwahi kusema bunge lililopitakuna wabunge wanadaiwa na benki wanamaliza ubunge hawajamaliza kulipa. Hahaha tutasikia mengi