Nami nimetafakari hilo ila kwa ninavyomjua Lema na kwa maisha aliyokuwa anaishi inahitaji nguvu ya ziada kuamini kuwa "amejifanya".Kuwa mkimbizi si jambo jema kabisa ukiacha mali na nduguzo.Hii tactic ya kujifanya wanataka kuuliwa badala ya kubaki na kukuza chama chao ni usaliti kwa wafuasi wao.