Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Najikuta nacheka at the same time nasikitika.Makasiriko ya jitu juu ya Kenya na Kenyatta yatazidi maradufu! Wakati ule alichoma vifaranga sijui atachoma nini safari hii.
Mungu akulinde Lema pamoja na familia yako.
Yani huyu mzee huwa akili zake sijui zikoje
Ni Mtu wa chuki na visasi..