Nami nimetafakari hilo ila kwa ninavyomjua Lema na kwa maisha aliyokuwa anaishi inahitaji nguvu ya ziada kuamini kuwa "amejifanya".Kuwa mkimbizi si jambo jema kabisa ukiacha mali na nduguzo.Hii tactic ya kujifanya wanataka kuuliwa badala ya kubaki na kukuza chama chao ni usaliti kwa wafuasi wao.
Suala la Kambona lilikuwa uhaini, sio maoni tofauti ya siasaHata Kambona alikuwa mkimbizi!! Naona hata kusoma historia ya nchi yao ni utopolo tupu!
Hii tactic ya kujifanya wanataka kuuliwa badala ya kubaki na kukuza chama chao ni usaliti kwa wafuasi wao.
Hana uwezo wa kumaliza hilo deni,Lakini Lema kamaliza deni la benki? Isije ikawa anakimbia deni.
Lema ako salama kenya manake mashirika ya kitaifa yatamlinda na serikali ya kenya haina uwezo wowote tofauti manake ikijaribu vinginevyo itajikuta matatani kabisa. Ila hawa wakimbizi kutoka bongo wajichunge magu anaweza geuka kuwa kagame awawinde.
Hakuna mtu ana shida na lema hata kidogo, hiyo ni aina ya kutafuta maisha baada ya kushindwa uchaguzi.Lema ako salama kenya manake mashirika ya kitaifa yatamlinda na serikali ya kenya haina uwezo wowote tofauti manake ikijaribu vinginevyo itajikuta matatani kabisa. Ila hawa wakimbizi kutoka bongo wajichunge magu anaweza geuka kuwa kagame awawinde.
Kama hakuna uhakika na usalama wa Maisha Yao afadhali wakimbie, na hicho chama watakikuzaje wakati manyanyaso kutoka kwa polisi ni Kila kukicha? Wakifanya vikao vya ndani ni shida nje Nako hakuna ruksaHii tactic ya kujifanya wanataka kuuliwa badala ya kubaki na kukuza chama chao ni usaliti kwa wafuasi wao.
Kila mtu na zamu yakeBaada ya kukosa kazi ya ubunge wanaona bora wakatafute huruma ya wakenya kwa kisingizio cha kuomba hifadhi....stupid ideas...mbona wamezunguka nchi nzima na hakuna aliyewagusa?
Sasa itakuwaje?H@na
Hana uwezo wa kumaliza hilo deni,
Ndo njia ya kukimbia hilo deni kiaina na kusingizia kuuwawa.Sasa itakuwaje?
Sio Jambo la kufurahia hili.Acha abaki Kenye kwenye Corona,kipindupindu na njaa.
Hii tactic ya kujifanya wanataka kuuliwa badala ya kubaki na kukuza chama chao ni usaliti kwa wafuasi wao.