KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

achana na ukawa, jikite kwenye hili linalotokea sasa au una visasi na UKAWA
visasi vipi? hapa nchini mlitetea vyombo visipigwe fine kwa kurusha habari za kituo cha sheria na haki za binadamu, iweje Kenya vinafungiwa na kutishiwa kunyang'anywa leseni? kwani kosa lao ni nini? Ndio maana naomba wana UKAWA ambao wanaiunga mkono serikali ya Kenya kuzungumzia huku kuminya uhuru wa habari na uhuru wa vyombo vya habari kufanya kazi zao.
 
Dooh naona sasa ruto anamshauri vibaya Uhuru kwa sababu ya tamaa ya madaraka,waache umagufuli na ukagame coz haulipi.
 
Kosa ni kosa hata alifanye "Mungu". Kenye wanakwenda nao kubaya waafrika hawaaminiki
 
Acha kulinganisha giza na nuru wewe!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…