KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Ni watu wa DStv tuu tunaona live kutoka Kenya!
 
Hawajafungiwa Ila matangazo yao ya live yaliyokuwa yanaonyesha kuapuswa kwa Raila Odinga yamekatwa na kuzimwa mitambo yao sehemu kubwa ya nchi ya Kenya Ila hawajafungiwa kwa matangazo mengine
 
Hawajafungiwa Ila matangazo yao ya live yaliyokuwa yanaonyesha kuapuswa kwa Raila Odinga yamekatwa na kuzimwa mitambo yao sehemu kubwa ya nchi ya Kenya Ila hawajafungiwa kwa matangazo mengine
Yamezimwa siyo kufungiwa..!
 
Ustream matangazo kwa njia ya internet (online).
Wewe ndio unasema Kenya hawana uwezo wa kuzima streaming media? Hehehe unachekesha hakuna network yoyote kwenye Internet any satellite network ambayo serikali yoyote duniani hawawezi kudhibiti sababu serikali hiyo ndio iliyowapa kibali cha access kwenye maeneo yao.
 
Inaonekana huyo jamaa amkuwa akikuwekea nyuma hiyo GOVI [emoji23] [emoji12]
Mwanaume mzima utajuaje siri ya uchi wa mtu ?! Kakuwekea mara ngapi?! Ulijisikiaje ?! Aendelee au aache ?
Hahah unaitwa Odhiambo eeeh OTIE NADO, nijua Mjaluo lazima uje juu,hahah Govi halijawahi kuwaacha wakenya salama.
 
Hehehe baba wa democracy amewaangusha? Hehehe wapinzani mnatakiwa muhamie ulaya mmeshasahau kwamba Uhuru mlikua mnamkatia mauno huku na mipovu utazani mnakata roho
Mkuu nadhani na wewe ni wale wale! hivi alichotaka kufanya odinga nisawa? Vitabu vya Mungu vinasema tutii mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…