Sheria hii ni kandamizi kwetu sisi wanaume, ikizingatiwa kwamba sisi ujipanga ipasavyo kabla ya ndoa kuliko wenza wetu.
Ndoa ikivunjika Kila mtu aondoke na kilicho chake. Tabia ya wanawake kuvizia mali zetu , wengine wakienda mbali hadi kututoa uhai ilimradi wamiliki mali zetu siyo nzuri kabisa.
Kama mwanamke alikuja na begi lake moja basi ndoa ikivunjika abebe begi lake moja hilo hilo hakuna cha kugawana mali pasu.
Na tena athibitishe kwamba ni begi lake kweli na alikuja nalo.
Kama ni mapenzi/upendo tunafaidi wote, yaani tena yule mwanamke ambaye hujazaa naye ukitoa mbususu hakuna anacho offer zaidi ya kunyonya mali zako tu.
Hii itapunguza migogoro ya kifamilia, tamaa za wanawake kuvizia mali za wanaume wao.
Kama mmezaa pamoja, mali zibaki kwa mwanaume na watoto. Ikiwa hamjazaa pamoja, ndoa ikivunjika abebe alichokuja nacho tu na kuondoka zake.
HAKUNA KUVIZIA MALI ZETU, WANAWAKE NA NYIE JITUMENI MMILIKI ZENU KWANZA, KABLA YA KUJILENGASHA NA KUNYEMELEA MALI ZETU WANAUME.
Kenya tayari wamepitisha hii sheria, Tanzania tunasubiri nini?