Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Hii tabia ya Wabongo kulialia lazima ifike mwisho.
 
Ujamaa ndio asili ya uvivu wetu Kenya ubepari umewalea kwenye kupambana
Wajamaa wana roho za utu tofauti na mabepari ambao wapo tayari kuua kwa sababu ya mali ambazo akina Bush Sr. wamekufa wameacha.

Wajamaa wanapambana kiungwana na kwa askili nyingi. Jaribu kulinganisha REPUBLICANS na DEMOCRATS kwa kule Marekani.
 
Wajamaa wana roho za utu tofauti na mabepari ambao wapo tayari kuua kwa sababu ya mali ambazo akina Bush Sr. wamekufa wameacha.

Wajamaa wanapambana kiungwana na kwa askili nyingi. Jaribu kulinganisha REPUBLICANS na DEMOCRATS kwa kule Marekani.
Ujamaa ni umasikini, ujamaa ni chuki dhidi ya waliofanikiwa,ujamaa ni uvivu.
Asiyefanya Kazi na asile.Kama unatengenezewa mazingira ya kufanya kazi kwann usifanye Kazi.Lima tikiti,nyanya,hoho,bamia, muhogo soko Mkenya anafata shamba kwa bei poa kwann ukae unasubiri nn.Maji,ardhi,soko vyote vipo ni nguvu yako tu.
 
Acha waje wale wanachama ambao wanajifanya nchi ni yao pekee uone watakavyokucharukia kisa UKWELI HUU
 
Na
Wajamaa wana roho za utu tofauti na mabepari ambao wapo tayari kuua kwa sababu ya mali ambazo akina Bush Sr. wamekufa wameacha.

Wajamaa wanapambana kiungwana na kwa askili nyingi. Jaribu kulinganisha REPUBLICANS na DEMOCRATS kwa kule Marekani.
Ni kweli kiongoz, NDIO MAANA MAJAMAA YANATEKA WATU,MANAFIKI,MANYANG'ANYI,YANAUA WAANDISHI WA HABARI,YAKIFA YANAZIKWA BILA JENEZA,YANAPORA PESA KWENYE MIFUKO YA HIFADHI NA FAUKA YA YOTE YANAHAKIKISHA ELIMU INAYOTOLEWA NI HAFIFU ILI YATAWALE MAISHA. KIBOKO CHA MAJAMAA NI MUNGU. ANACHOMOA MMOJA MMOJA
 
..nadhani tunakosea sana kuwakweza TISS na kukabidhi maisha yetu mikononi mwao.

..suala la viwanda kufa au kustawi linategemeana na mazingira ya kibiashara yaliyoko Tz.
Huwezi kuwakwepa kwa njia yeyote kwenye ustawi wa taifa na pia kiulinzi na usalama nchi yeyote vyombo vya ulinzi kama Tiss ndiyo wenye jukumu la kuishauri selikari ktk kuenda mbele iwe kwa njia hata ya kufanya ujasusi kwenye nchi nyingine ukiona nchi inafeli ktk uchumi,kisiasa na ulinzi ujue kuna tatizo ktk chombo kama tiss
 
Kufanyaje?
Asee ni vile mko mbali na systeam...hivo amuwez jua lolote...

Hakuna watu wanaopambana usiku na mchana kama Tz Intell!genc!!!!!(Tiss"""Mi"")
 
Ni mpumbavu tu anayeweza kuamini Vodacom Tanzania inaweza kuondoshwa katika soko la Tanzania na mkenya.
 
Ni mpumbavu tu anayeweza kuamini Vodacom Tanzania inaweza kuondoshwa katika soko la Tanzania na mkenya.
Ulivyoliweka hili ni kama wewe ndiye mmiliki wa 'Vodacom', hebu tueleze ujuwayo wewe, kabla ya kuwaita wengine kuwa ni "wapumbavu".

Kwani huoni wewe unaweza ukawa mpumbavu zaidi ya hao wengine?
 
Wao wenyewe huko Kenya wanalia, hivi unadhani vita hivi ni mchezo?

'Cartels' wanacheza na uchumi wa kenya, halafu wewe unasema waTanzania wanalialia?

Subiri utakaposhuhudia 'full blast' ya 'tenderpreneurs' itakapohamia hapa ndipo utaelewa vizuri.

Ninajua nakujibu wewe mkuu 'Mkaruka', naelewa mara nyingi hatujawahi kuwa pembe tofauti kimtazamo kama leo.
 
Watu wanashangilia kitu kitakachokuja kuwagharimu siku za usoni bila wao kujua! Majamaa yata lobby, yatafanya kila aina ya mbinu aggressively kushika usukani na tabia yao ya rushwa ile ikipandikizwa vizuri nchini tutaimba na kucheza nyimbo moja!

Barabara kampuni za kikenya! Madini kampuni za Kikenya! Supplies kampuni za Kikenya maana smartness wametuzidia na ni sababu kwao ku survive inahitaji akili nyingi sio mtori mtori kama sisi huku! Sehemu pekee tutakula nao sawa ni mashambani tu ndio watu watafaidi kutuma mizigo mpakani ikauzwe Kenya ila itaenda nao watakuwa wananunua Mashamba bongo na kulima wenyewe hapo ndio tutajua hatujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Mkenya na mchagga tofauti yao ni shimboni shaffo tu tena bora wachaga ni ndugu zetu wale! Hao mahuni from Nai watakuja kutunyoosha ni swala la muda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…