Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #361
Sawa mkuu. Hongera kwa kuwa na moyo mzuri wa kutoa somo kwa wengine. Vile vile kwa maana sisi watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu, ninadhani litakuwa ni jambo la maana sana kama utaandaa na video clips kadhaa kwa watu kama hao.Napenda watu wajifunze kwa uelewa mzuri nina somo linaloitwa 'An Entrpreneur and His silente society' mfanya biashara anayefanya biashara kwenje jamii yenye ukimya (silent society) hawezi kufanikiwa, nasisi tumeiishi