Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijisahaulishe mkuu. Mwanachama wenu mtiifu Sumaye mmenyang'anya shamba mchana kweupe.Acha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Nyie endeleeni kuwekeza watu wawe kama wakina mwijaku,baba levo,manara na tktk zingineNa sisi tunajitahi jitahidi, tumeanza mdogo mdogo kule Njombe
Ukweli mchungu kuhusu kilimo cha parachichi Tanzania, hizo mbegu bora ni kutoka Kenya, wataamu wa drip irrigation ya parachichi ni kutoka Kenya, kampuni kiongozi wa pembejeo za kilimo cha parachichi ni Balton Tanzania, imeajiri Wakenya watupu!. Hawa ndio wana manage Africado Kyle Sanya Juu na Rugwe!, Why?, ni kwasababu hatuna Watanzania wenye uwezo huo!. Na tutakapofikia kipindi cha free labour movement ya EAC, hata ile biashara ya usiku ya wale dada zetu, utakuwa taken na manzi wa Nairobi!. Tukisema Watanzania tumelogwa!, mnabisha!.
P
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Weka picha jamaa wakikata majani ya ng'ombe tuone....hadi leo watu wanakata majani ya ngombe usitetee
Eneo la uwekezaji (Mikindani Estate) Mtwara. Kesi ilikuwa kubwa hadi kufika The Permanent Court of Arbitration (PCA).Acha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Kuwauzia sio hisani kwao. Ni biashara ambayo tunaiihitaji kuboresha maisha na uchumi wetu. Mbona hujawaza iwapo wakigoma kununua hali itakuwaje kwa wakulima?Sijasema hakuna mazuri tunayoweza kuyatumia hapa, hata kama ni kwa kuyabadili kidogo kulingana na hali yetu ilivyo. Si lazima kubeba tu.
Na hapo hapo pia elewa kuwa kuna mazuri yanayofanyika hapa pia, pamoja na ubovu wa CCM yetu.
Vinginevyo tusingeweza kuwauzia mazao yanayopatikana hapa.
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Mkuu upo sahihi juzi kati nilikuwa kwenye wilaya zote za Tabora wanalalamika asali imeshuka bei na wanunuzi wakubwa ni Kenya so tunategemeanaKuwauzia sio hisani kwao. Ni biashara ambayo tunaiihitaji kuboresha maisha na uchumi wetu. Mbona hujawaza iwapo wakigoma kununua hali itakuwaje kwa wakulima?
Mambo wanayoyaweza watz ni:Kenya wapo serious, na wana kila sababu za kutuita 'a sleeping giant' maana tumewekeza kwenye siasa za hovyohovyo, fitina, majungu, kujuana, uswahili swahili na upuuzi mwingine mwingi.
Kuna ulinyang'anywa shamba nitafute nitakusaidia kitu.NAWAKUBALI SANA KENYA KWENYE SUALA LA SERA YA KILIMO NA ARDHI, HAPA KWETU MTU ANAWEZA AMKA ASUBUHI NA MGOGORO KICHWANI KWAKE NA AKAKUNYANG`ANYA SHAMBA HIVIHIVI NA BADO SHAMBA HILO LIKABAKI BILA UZALISHAJI.
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Naam, hiyo ndio hali halisi. Tatizo kuna mentality imeingia miongoni mwa wengi kana kwamba tunafanya hisani kuwauzia mazao. Uchumi ni kutegemeana kati ya nchi na nchi. Wao wanafaidika na sisi vilevile. Juzi tu waliacha kununua mahindi kwa kisingizio ati mahindi yetu yana sumu kuvu, ilikuwa ni mtafutano kwa wakulima mpaka rais Samia na mwenzake wa Kenya waliposawazisha mambo. Wote tuheshimiane kwa kuwa tunategemeana.Mkuu upo sahihi juzi kati nilikuwa kwenye wilaya zote za Tabora wanalalamika asali imeshuka bei na wanunuzi wakubwa ni Kenya so tunategemeana
Uko sawa ,hawa watu wanashindwa kuwa Kenya wanatembelea kwa mgongo wetu mfano,Mlima Kilimanjaro husema ni wa kwao,Mbuga ya Serengeti,kilimo cha mpunga,mahindi,parachichi,ndizi,ng'ombe,mbuzi na hata samaki.Wanalangua parachichi Tanzania, wanaenda kuweka label kama zimelimwa Kenya. Nenda Njombe pale wana ofisi za kununua parachichi wanapeleka Kenya. Zikifika Kenya wanasema zinalimwa Tanzania
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Ndio wamewazidi akili.Uko sawa ,hawa watu wanashindwa kuwa Kenya wanatembelea kwa mgongo wetu mfano,Mlima Kilimanjaro husema ni wa kwao,Mbuga ya Serengeti,kilimo cha mpunga,mahindi,parachichi,ndizi,ng'ombe,mbuzi na hata samaki.