Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

kilimo cha parachichi ni kigumu sana kwa hapa jombe , kiufupi sio dili kama inavyosemwa mtandaoni, ni heri nenda rungwe kanunue shamba kwa bei kubwa( wanyakyusa wanauza ardhi kwa bei kubwa sana) lakini kilimo chIe ni chepesi, hutamwagilia, utafanya intercroping uwezavyo na utafurahia kilimo , mimi binafsi nimehamia makete kulima kahawa
 
Kenya sio wenzetu kwenye mambo mengi, Kenya wapo mbele sio kama flani ya mapoyoyo.
 
Kipi ambacho hakina madhara kwa Zama hizi? Nitajie japo kimoja tu nikifungulie uzi kabisa wa madhara yake
Kuna mahindi ambayo yanalimwa vijijini tena ya asili yasiyowekewa dawa na pia kuna parachichi ambazo zinazalishwa tofauti na hizo za muda mfupi ambzo hazina shida kabisaa
 
Hao wananunua tz wanasema wanalima wao. Siku tukifunga mipaka watalia njaa
Kenya kuba mashamba mamubwa sana wacha kuzania kila kitu ni Tanzania tu, wewe unalima? Ujinga ujinga mwingi sana
 
MPAKA LEO HII, MKOA WA NJOMBE HAKUNA SHAMBA LA AVOS LINALOTOA MATUNDA LENYE UKUBWA WA EKA 500. ILA BAADA YA MIAKA MITANO IJAYO, TUTAKUWA NA MASHAMBA KADHAA. SASA HAO MAJIRANI WANAZUNGUMZIA UZALISHAJI NA UUZAJI NJE MIAKA MINGI.
Yatoke wapi mashamba makubwa wakati, Mashamba yana badilishwa kuwa viwanja vya kujenga nyumba? Aruaha ilikuwa na eneo zuri la kilimo cha parachichi ila imejaa viwanja vya makazi,
 
Sawa,nyie mazao na mazagazaga mengine mnayFanyia nini
Vp serikali yenu imejaribu kuwatafutia fursa ya kwenda kuuza nje
Au ndiyo fursa wanatafutiwa wachache tu na ndomana hao hao kila leo wanakuwa mabilionea tz

Ova
Unataka nani akutafutie bila juhudi zako? Akina Karl Peters walikuja kutafuta masoko na utajiri Afrika kwa juhudi zao na ndiyo maana walifanikiwa.
 
Moja ya hatua kubwa na hao kila siku wanaambiwa wanawakikisha nchi
Ni hao wakata mauno wavaa hereni puani, vikuku mguuni

Ova
na ndio role models wa madogo wengi, siku moja napita mitaa ya kinondoni nimepishana na mijamaa miili mikubwa ila stori zao sasa, mara diamond hivi mara vile nikasema duuh kazi ipo!
 
Back
Top Bottom