Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ukweli akaongea kwani jpm hakuchukua shamba la sumaye. Pia Kenya nadhani wasomi Ni wengi hakuna pa kuwaajiri wote so wanajiongezaAcha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Alilichukua asubuhi alipoamka?Ukweli akaongea kwani jpm hakuchukua shamba la sumaye...
Hapana Ni baada ya kupata lanchi ndipo alichukua bana. Duu umenivunjaje mbavuAlilichukua asubuhi alipoamka?
Kuna mahindi ambayo yanalimwa vijijini tena ya asili yasiyowekewa dawa na pia kuna parachichi ambazo zinazalishwa tofauti na hizo za muda mfupi ambzo hazina shida kabisaaKipi ambacho hakina madhara kwa Zama hizi? Nitajie japo kimoja tu nikifungulie uzi kabisa wa madhara yake
Kenya kuba mashamba mamubwa sana wacha kuzania kila kitu ni Tanzania tu, wewe unalima? Ujinga ujinga mwingi sanaHao wananunua tz wanasema wanalima wao. Siku tukifunga mipaka watalia njaa
Yatoke wapi mashamba makubwa wakati, Mashamba yana badilishwa kuwa viwanja vya kujenga nyumba? Aruaha ilikuwa na eneo zuri la kilimo cha parachichi ila imejaa viwanja vya makazi,MPAKA LEO HII, MKOA WA NJOMBE HAKUNA SHAMBA LA AVOS LINALOTOA MATUNDA LENYE UKUBWA WA EKA 500. ILA BAADA YA MIAKA MITANO IJAYO, TUTAKUWA NA MASHAMBA KADHAA. SASA HAO MAJIRANI WANAZUNGUMZIA UZALISHAJI NA UUZAJI NJE MIAKA MINGI.
Unajipa matumaini naona, nani kakuambia Ovacado ni GMO?Naona mnaosupport GMO Mnazidi kuongezeka
Vidonge vya Hospitalini full chemical una bwia lakini? Waafrica hapa ndio wazungu wanako tushangalia,Naona mnaosupport GMO Mnazidi kuongezeka
Kuna lile la mbowe lililofyekwa mazao ya chakula, mboga mboga n.k. unalikumbuka?Acha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Unataka nani akutafutie bila juhudi zako? Akina Karl Peters walikuja kutafuta masoko na utajiri Afrika kwa juhudi zao na ndiyo maana walifanikiwa.Sawa,nyie mazao na mazagazaga mengine mnayFanyia nini
Vp serikali yenu imejaribu kuwatafutia fursa ya kwenda kuuza nje
Au ndiyo fursa wanatafutiwa wachache tu na ndomana hao hao kila leo wanakuwa mabilionea tz
Ova
👇..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
na ndio role models wa madogo wengi, siku moja napita mitaa ya kinondoni nimepishana na mijamaa miili mikubwa ila stori zao sasa, mara diamond hivi mara vile nikasema duuh kazi ipo!Moja ya hatua kubwa na hao kila siku wanaambiwa wanawakikisha nchi
Ni hao wakata mauno wavaa hereni puani, vikuku mguuni
Ova