Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados

Kumbe na bishana na taahira, angalia bidhaa anazo safirisha Kenya soko la ulaya na nyie mnaojisifu kusafirisha mpunga, mahindi na other raw material Kenya
Zilete hapa nikuumbue! usiwe mpumbavu namna hii!
 
Hili swali nili raise hata hapa jamii forums tu na nikatoa taakwimu zote ....Tanzania is seriously under performing ukizingatia the resources they have...sisi kule Kenya we are not blessed with anything in particular in terms of natural resources kama arable land with enough rainfall na zingine...we are a market economy kazi yetu ni trading tu alafu pia vijana wamesoma kwa hivyo human resource tuko poa sana....kwa sababu how can u explain Tanzania making less than $40M from Avocado yet hata yule mama ambaye anasimamia the Tanzania Horticultural Association amekuwa aki promote hii sekta for more than 10 years. Na sio parachichi tu, the entire sekta ya Kilimo cha bustani yaani Horticulture.

The reason why some times parachichi inasafirishwa kupita kenya ni kwa sababu the port in Dar es salaam does not have enough traffic for cold storage container ships.

Kwa maoni yangu Tanzania should be where South Africa is.

Na mnaweza kusema mnaongoza kwa sekta zingine za kilimo kama korosho but that is to be expected ,u have the largest arable land in the region ,hakuna excuse hapo

Ila niwapongeze sana they are doing quite well in Fishing they make $200M a year.
Hii fishing ni sekta underated sana...do u know that at 223,000 Square kilometres, Tanzania's offshore ocean territory is almost the same size as the entire landmass of Uganda.



Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu, ingekuwa hivyo supermarket zingejaa nyanya na maparachichi ya kutoka sokon
Huna akili wewe, hata sijui Kama ulifika hata darasa la Sana, pumbavu Sana wewe, hivi hujui kwamba Kila eneo Kuna viwango vya ubora wa bidhaa lazima ufikie ili kuuza supermarkets?.

Kwahiyo wewe unataka ukakute nyanya na Embe toka Morogoro kwenye matenga na majani ya mgomba yanauzwa pale Supermarkets?.

Wewe hujui lolote kuhusu biashara, endelea kupiga kelele wakati watu wanafanya biashara na kupiga pesa, huko huko supermarkets.
 
Angalia GDP yako na ya Kenya ambayo mmeizidi kila kitu kisha jipige pige kifua mara tatu useme hakika wewe ni mwezi mchanga
Kwahiyo wewe GDP kwako ndio muhimu kuliko maisha ya wananchi walio wengi nchini kwako?. Sasa GDP inasaidia nini Kama wananchi wanakufa kwa njaa, na zaidi ya nusu ya nchi haikaliki kutokana na "bandits" na ukame?
 
Wewe ni punguani umesema maparachichi haya hitaji processinf yeyote sasa unasema tena bla bla zako.
Una ubongo wa kuku wewe
 
Kwahiyo wewe GDP kwako ndio muhimu kuliko maisha ya wananchi walio wengi nchini kwako?. Sasa GDP inasaidia nini Kama wananchi wanakufa kwa njaa, na zaidi ya nusu ya nchi haikaliki kutokana na "bandits" na ukame?
Mkuu unapofanya argument stick kwenye mjadala.
GDP ya kenya ni kubwa kwa sababu wana export bidhaa nyingi ulaya ambazo ni finished mambo ya kula GDP jadili na mama yako
 
Hii ni kujaribu kutaka kuhalalisha uzembe wa Kenya, hakuna sababu yoyote Ile kwa Kenya kubaki nyuma katika sector ya kilimo, uvuvi na mifugo
1)Kama kweli Kenya mko na educated people, iweje mnashindwa kutumia elimu yenu kufanya kilimo Cha umwagiliaji Kama Israel?
2)Kama mko na GDP kubwa kuliko Tanzania, iweje mnashindwa kutumia GDP yenu kubadilisha maisha Kama Singapore?

Ili nchi iweze kuendelea kwa Kasi, unahitaji mambo matatu muhimu.
1)The best human resource
2)Financial capital
3)Technology

Taiwan, Singapore, Japan, South Korea, Israel, hazikuendelea kwasababu ya Ardhi kubwa yenye rutuba.

Ninyi wakenya mnajisifu kuwa na "better human resource, GDP, vipi mnashindwa kuvitumia badala yake mnasingizia kwamba hamna Ardhi?.
Wacheni visingizio, ninyi ni wazembe.
 
Avocado zinatoka Bongo zinauzwa Kenya, Wakenya wanauzq Ulaya.
Akili zetu zinatufaa wenyewe. Ina maana hatuna masoko ya kuaminika. Hatuna minada inayoeleweka ya mazao tunayolima.
Hata chai inalimwa Tanzania, inaenda kuuzwa Kenya
 
Mkuu unapofanya argument stick kwenye mjadala.
GDP ya kenya ni kubwa kwa sababu wana export bidhaa nyingi ulaya ambazo ni finished mambo ya kula GDP jadili na mama yako

Kenya wanachukua raw materials, semi processing and sell.
Sisi tunaendelea kushikana uchawi tu hapa
 
Wewe ni punguani umesema maparachichi haya hitaji processinf yeyote sasa unasema tena bla bla zako.
Una ubongo wa kuku wewe
Jinga kabisa wewe, parachichi 90% duniani kote husafirisha "raw" kwasababu 90% hutumika "raw".
 
Jinga kabisa wewe, parachichi 90% duniani kote husafirisha "raw" kwasababu 90% hutumika "raw".
Hujui hata kuna processing, hujui hata kuna standard kuna packaging.
Sijadili na punguani safirisha na wewe juha wewe
 
Ni vizuri umetaja hapo financial capability na ninafikiri umejijibu mwenyewe....hivi wewe unajua kwamba cost of irrigation per acre ni zaidi ya $1,000? Na bado hatujataja cost of building dams hizo ni zaidi ya $200M per dam...ukumbuke kwamba sisi bado ni a developing country


Whichever way u look at it, sisi tumejikakamua sana hii miaka yote by using the little we have....also naona unajaribu ku down play the importance of our human resource...hivi unajua kwamba diaspora remittances ndio our biggest foreign exchange earner ? Unafikiri hiyo ni kwa nini?


Ukibadilisha Tanzania uipee wakenya it will be the 4 largest economy in Africa baada ya Egypt, Nigeria na South Africa

We make do with the little we have

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Mje mchukue Njombe Tanzania 🇹🇿 halafu mjiite top?
 
Hujui hata kuna processing, hujui hata kuna standard kuna packaging.
Sijadili na punguani safirisha na wewe juha wewe
hebu leta parachichi Za Kunyaland ZikIwa processed ikawa bread SPREAD/PASTE/SAUCE/SKIN BODY CARE yaani kama siagi au lotion na ikauzwa supermarkets western countries!







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…